Recent content by PoMwamba

  1. P

    JamiiForums Tanzania Mwigulu, Ulisema ujenzi wa SGR utagharimu Sh4.89 trilioni lakini mkataba umesainiwa Sh6.34 trilioni. Ongezeko la Sh1.45 trilioni. Maelezo?

    Mwenye kisu ndiye mla nyama,wadanganyika wenyewe hawana mpango wa kujikwamua walipo wacha nipambane na yanayonihusu .
  2. P

    JamiiForums Tanzania African Super League inaanza October

    USM Alger bingwa aseme nini 😄🤣
  3. P

    JamiiForums Tanzania Teuzi za Rais Samia zina upendeleo?

    Baada ya kuacha kuwa "serious" na mambo yahusuyo nchi nina amani sana,teuzi ,mikopo mara fulani anatuhumiwa hiki na kile kwangu nasoma kama riwaya.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu nilikufahamu siku ya kwanza umeweka code hapa 😄
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kesho sasa mambo yatakua fresh
  6. P

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu tpaul naamini leo natakiwa nifuate code yako/zako,,fanya jambo tafadhali.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Huku miudenda ikitutoka 😄
  8. P

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    1XBET kila nikitaka kujiunga nakutana na vipengele,,wakala nikasema NO Hapa mdau unanihakikishia skrill ina makato makubwa hivi 🤭
  9. P

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu kwenye usajili wa skrill nakwama kwenye kujaza nchi inaload na mwisho ni sema "errors in general servers" Ushauri kwa anayefahamu hili
  10. P

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Hakika mkuu
  11. P

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu umenichekesha ulivyosisitiza hayupo wa kuweka shuka la maasai kwa idadi hiyo ya timu,elewa na ukubali hali na ujasiri tumetofautiana ndugu.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    😄🤣atajua kuna pisi inataka kumpiku
  13. P

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Hapa rehema lazma alete maneno kwa sababu ya hii pete nzuri 😄,,stori inapoelekea huenda ally mpemba hatunaye maana kwa hizi info watu watamjua .
  14. P

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Dk ya 58 ,option under 3.5 》matokeo 2-2 🤭
Back
Top Bottom