Soma uelewe ....bank statement unaweza ku download mwenyewe kwenye online banking ila kama utahitaji muhuri ili upeleke sehemu labda ukaombe visa au mkopo kwenye taasisi nyingine ya kifedha itabidi uende bank waka kupe print out yenye muhuri ambayo utalipia....
bank statement ni bure kama unataka kuangalia miamala yako ambapo pia unaweza kuprint mwenyewe kwa kutumia internet banking lakini kama unataka bank statement kwa ajili ya kupeleka sehemu inabidi igongwe muhuri na hapo ndipo utalipia mara nyingi ni elfu ishirini
Mimi ni miongoni wa wale wasiopokea namba ngeni tena kwenye simu yangu nime reject strange calls kama na wewe ni muumini wa hii slogan tupeane maujuzi maana sababu nyingi huwa ni madeni au kutembea na wake za watu sasa kwenye kikao chetu cha wanaume tujadiliane hii changamoto tunaikabili...
Kama lengo ni kuwatoa basi naona kama ni mapema sana ...hasira za wananchi bado hazijaisha huko walipo ni sehemu salama sana kuliko huku uraiani...copy?
Kama nimeelewa vizuri mleta maombi "ana kosa locus standi" yaani uhalali wa kisheria kwa sababu kanisa linalodaiwa kufungwa lina jina tofauti na kanisa lililoleta maombi...
Amani iwe kwenu,
Nitakuwa na upload free style na Cyphers zote humu ambazo zitakuwa zinatetea maslahi ya nchi (Taifa) ....na kama una free style ama Cyphers ambayo inaweza kuendana na hali ya sasa ya nchi tafadhali I upload humu zote zitasikilizwa kwa ajaili ya matumizi ambayo yatakuwa na...
Salaam alyekum,
wakati sosho media zimejaa taarifa zisizo na tija sijui gwaji boy, sijui gen z binafsi naona ni kama kelele za chura ambazo hazimzuiii kuendelea na kazi huo ulikuwa utangulizi lakini swali langu ni kwanini konyagi huwa inalazwa? …..ukizingia kwenye comment principle yangu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.