Recent content by Polycythemia Vera

  1. P

    JamiiForums Tanzania Fanya hivi usipofanikiwa niite mbwa nimekaa pale

    Kwanini nisiwape wazazi wangu
  2. P

    JamiiForums Tanzania Pharmacist anatafutwa, awe na cheti kilichosajiliwa na Baraza la Wafamasia

    Mimi labda anipe ya mwaka mzima kwa hiyo 600k.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Figisu Hatimae kufukuzwa kazi

    Ni muda Sasa wa kuweka focus kwenye mambo yako binafsi uliokuwa unafanya kujipatia kipato nje na ajira uliokuwa nayo.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna kadeti zenye ubora kuzidi VICOBSS?

    Nikihitaji kununua nguo original, jitakutafuta.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna kadeti zenye ubora kuzidi VICOBSS?

    Hata kama ni original, ndio toka 2007!!?
  6. P

    JamiiForums Tanzania Pharmacist anatafutwa, awe na cheti kilichosajiliwa na Baraza la Wafamasia

    Bro, unachukua 600k kabisa!!?
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kila mtu ni mtumwa wa utamaduni wake

    Hapo utakuwa umerogwa
  8. P

    JamiiForums Tanzania Dunia ni ya ajabu sana

    Hayajamkuta bado
  9. P

    JamiiForums Tanzania Naona Syria inaenda kuwa uwanja wa vita kati ya Iran na Israel; sijui Assad amekubalije nchi yake kila mtu kujikatia kipande chake

    Tupe shule Sasa, unajiita hypershulemia,afu unaishia kukomenti 'kiwake' ,mwaga shule mzee!!
  10. P

    JamiiForums Tanzania Kupatwa kwa jua Jumatatu 8 Aprili 2024

    Una umri gani?
  11. P

    JamiiForums Tanzania Fahamu madhara/maudhi ya dawa za presha Nifedipine na Amlodipine

    Baada ya ajali ulifika hospitali kwa uchunguzi zaidi?
  12. P

    JamiiForums Tanzania Fahamu madhara/maudhi ya dawa za presha Captopril na Enalapril

    Captopril na enalapril ni dawa muhimu kwa watu wenye matatizo ya presha na kisukari. Maudhi ya dawa hizi ni pamoja na kikohozi kikavu, ambapo mgonjwa huanza kukohoa kikohozi kisichopona au kutulizwa na dawa za kikohozi. Katika tiba, mgonjwa anapaswa kurudi kwa daktari wake na kuelezea tatizo...
Back
Top Bottom