Recent content by polo1981

  1. P

    JamiiForums Tanzania Kailima: Nimeenda jandoni kwa hiyo siwezi kujibu matusi ya Mbowe

    Kwa kweli tume ya uchaguzi haitendi haki kwa vyama vyote hususan vyama vya upinzani. Mtu mwenye akili timamu anajua.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wangu wa CCM na Rais wa JMT, Dkt. Magufuli tafadhali mkemee haraka Cyprian Musiba

    Kama nchi imefikia hatua ambayo msiba ndiye mshauri wa jeshi la polisi na usalama wa taifa basi Tayari tumeshaangamia!!!!!!!!
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kuanzia leo situmii tena kondomu, nitaenda dry hadi mwisho

    Hujielewi, naamini una ngoma ndiyo maana unaamasisha watu wasitumie.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kushtakiwa Mahakama ya Kimataifa kutokana na mahojiano aliyofanya na BBC

    Huyu ndiye Msiba aliyekuwa mtangazaji wa cloud radio, jamani njaa mbaya Sana ndiyo maana anajikomba ili apewe cheo. Yetu macho ipo siku Msiba kwa sasa umefumba macho uoni, jaribu kukodoa macho Kama utaona vizuri. Kweli hayo maneno yanatoka Moyoni !!!!!!???!!!???
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mawakili 10 kufungua kesi ya kupinga katazo la maandamano

    Nia yenu ni njema, ongereni kwa kuamua jambo hili. Mungu awatangulie na mshinde huu utawala ambao auzingatii Sheria.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Simu yako ina utambulisho halisi?

    3/5,
  7. P

    JamiiForums Tanzania RC Makonda yupo ITV. Mada: Tathmini ya mwaka 2017 na mipango ya Serikali kwa Dar es Salaam kwa mwaka 2018

    ITV siku hizi siangalii kwani imekuwa Kama TBC. Taarifa ya habari ni Azam Two. Siku hizi kipimajoto,hamna vitu muhimu vya kujadili, wanampa Rais wa bao na polisi mstaafu muda marefu kwa kujadili hoja kwa sababu tu wanasifia serikali.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mbozi Magharibi(CHADEMA), David Ernest Silinde kuweka msimamo wake bayana hapo Kesho

    Hana lolote hata hutuba ni shida. Hana hata hutuba mwisho wa mwezi. Hata kuaga wapiganaji wetu kashindwa. Hii ni hatari. Naami kusoma A-level itakuwezesha kuwa nani baadaye.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Huu sasa ni ushamba wa kisiasa

    Kwa shinyanga inawezekana.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Kutoka Dodoma, Mrithi wa Kinana: Shigela, Pereira, Prof. Mkumbo na Dr. Bashiru Ally watajwa

    Kinana toka wanakuzingua kwani sasa hivi Hakuna hoja.
  11. P

    JamiiForums Tanzania CCM yampokea Mbunge Godwin Mollel toka CHADEMA

    Hivi kwa akili ya kawaida mbunge anahacha tu ubunge sababu tu anaunga mkono Rais.Hii utokea tu kama kuna kitu nyuma yake au kuna ukichaa au uwendawazimu. Tena doctor. Watu Kama Hawa hawafai katika jamii tena wanaumeee inauma Sana, haya ni matumizi Mabaya ya fedha ya nchi.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Kero: TCRA mlisema local channel ni bure mbona zinalipiwa?

    Kwa hiyo sisi wa Azam imekula kwetu Hamna cha bure. Lakini lengo la kuhamia digitali ni kulipia gharama ya king'amuzi. Analojia ni mfumo wa kijamaa, Dijitali ni mfumo wa kibepari yaani Hakuna vya bure.
  13. P

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ubungo, Saed Kebenea(CHADEMA) akanusha kujivua uanachama wa CHADEMA

    Kubenea nakubali Sana. Ccm ni chama cha wanyonge bila aibu kuvunjia Maskini nyumba zao bila fidia!!!!!
Back
Top Bottom