Recent content by Polmo

  1. Polmo

    JamiiForums Tanzania Natafuta wafanya biashara wa samaki.

    Na dagaa pia
  2. Polmo

    JamiiForums Tanzania Natafuta wafanya biashara wa samaki.

    Kama ujumbe unavyojieleza hapo juu nataka kufanya nao biashara. Kwa wale wanaoifahamu biashara hiyo
  3. Polmo

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo asimamishwa masomo UDSM hadi kesi ya jinai inayomkabili itakapomalizika

    We jamaa ni very thinker aisee,umeongea ukweli wanasahau hats Magu mwenyewe alishawahi kufukuzwa shule na leo amekua raisi
  4. Polmo

    JamiiForums Tanzania Kada wa CCM, Ole Mushi aionya Serikali ya CCM Makanisa yanaambatana na Wanyonge kuiondoa serikali madarakani

    Kama sikosei mwaka 1965 Hayati Martin Luther King Jr alisema nanukuu"NCHI YOYOTE ITAKAYOONGOZWA NA RAISI MWENYE UPARA LAZIMA ITAANDWAMWA NA MAJANGA NA UDHALIMU KWA RAIA WAKE" mwisho wa kunukuu. Vuta picha enzi za Mkapa na huyu jamaa
  5. Polmo

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Maaskofu KKKT: Tunasikitishwa na matukio ya kupotezwa watu, kubanwa kwa Uhuru wa Mahakama, Bunge na Tume ya Uchaguzi...

    Yaaaani hapo wangeongea na wakatoliki pia hawa jamaa wangejua nini kitatokea,ila tatizo sisi wakatoliki ni wanafiki sana hasa pengo
  6. Polmo

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Maaskofu KKKT: Tunasikitishwa na matukio ya kupotezwa watu, kubanwa kwa Uhuru wa Mahakama, Bunge na Tume ya Uchaguzi...

    Yaaani nyie wachumia tumbo bhana,hata penye ukweli bado mnaongea pumba
  7. Polmo

    JamiiForums Tanzania TZS 150bn mkopo kutoka Benki ya Dunia Vs gharama za uchaguzi

    Kwa hiyo tutakua tunadaiwa trillion 52.1 na kitu,maana deni la taifa limepaa
  8. Polmo

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu adai Makonda ni malaika wa Mungu aliyetumwa duniani

    Kaka kutoka moyoni leo ndo nimejua kwanini ccm haituachi salama na haiwezi kutuacha Yaaani jitu zma halijui tofauti ya Mungu na mungu
  9. Polmo

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu adai Makonda ni malaika wa Mungu aliyetumwa duniani

    Yaaani we ndo hujui kitu kweli we unavyoona hamna tofauti hapo?
  10. Polmo

    JamiiForums Tanzania BURUNDI: Wawili wafungwa kwa kumchezea rafu Rais Nkurunziza aliposhiriki katika mchezo wa soka

    Mkuu hiyo siyo ya kusadikika?
  11. Polmo

    JamiiForums Tanzania Kipindi bora cha michezo saa 2 asubuhi radio free africa ndio habari ya mjini kwa sasa

    Toka nimejua ni kada wa ccm cjawahi ipenda tena
  12. Polmo

    JamiiForums Tanzania Bila upinzani, Tanzania ingekuwa zaidi ya Japan kiuchumi

    Hamjamuelewa mjamaa,huyu kapiga vice-versa hapo
  13. Polmo

    JamiiForums Tanzania Serikali, NEC, Polisi na vyama vya siasa hii ndiyo dawa ya kuliponya Taifa kwa sasa

    Hii sio serikali hii Mungu wewe wajua tupapitiapo
Back
Top Bottom