Recent content by POL25

  1. POL25

    Kanye West aanzisha Biblia yake, ajiita Mungu

    huyu ----- kweliiiiii
  2. POL25

    Mwenge High School Singida Kunani ?

    ni hatari sana mkuu nakumbuka tumewahi kufunga 2months kwa sababu ya upungufu wa chakula,huyo Nyalandu nae politcs tu siku moja akasema ntapitisha harambee kwa ajili ya ukarabati wa shule lakini mpaka leo hakuna alichokifanya
  3. POL25

    Mwenge High School Singida Kunani ?

    ahahahahaaa jay ndio ulikuwa unaita kwa head master kasigi,,nimekumbuka kuchimbua visiki tulipotoroka kwenda kusoma tuition ya chem kwa chief pale ukombozi
  4. POL25

    Mwenge High School Singida Kunani ?

    ahahahahahahaaaaa unanikumbusha mbali ila saivi NDIMBO kafanya yake,,watoto wa singida ni sheedah ukizingua hausomi
  5. POL25

    Mwenge High School Singida Kunani ?

    dah mkuu kuhusu ukararabati wa lorry bado tulichanga 10000 kila mwanafunzi mwaka jana nikiwa 4m6 lakini hela zimeliwa nimeona ukarabati wa maabara,water system,vyoo na upandaji wa miti tu
  6. POL25

    Mwenge High School Singida Kunani ?

    Mwenge ilikiwa ya Lutheran nakumbuka walipotaka kuichukua Rais KIKWETE alikataa na kusema shule hizi(Tumain sec,Mwenge) zilishakabidhiwa serikalini,Lutheran walikuwa na mpango wa kukarabati Mwenge iwe University
  7. POL25

    Mwenge High School Singida Kunani ?

    Juzi nilienda kuchukua vyeti vyangu hapo shuleni nimefurahi sana nimekuta system ya maji imekarabatiwa,maabara nzuri vifaa vya kutosha hii baada ya kipilimba kutimuliwa saiv yupo NDIMBO ,safi saana
  8. POL25

    Maandamano ya amani kwa waliokosa mkopo HESLB tarehe 15 October

    nilimuona huyo dada ,mweupe hivi nyodo kibao kwa kodi za wananchi ukicheki pale wamepaki magari ya kifahari kibao ,halafu sijui alikuwa anafanya kazi gani pale maana sikuona cha maana,,Aisee It's unfair mtu katumia nauli kutoka mikoani halafu majibu yao simple simple wale jamaa
  9. POL25

    Kwa waliokosa mkopo

    Kwa Hiyo Mkuu Ukienda Bodi Ya Mkopo Wanakusikiliza Na Mkopo Unapat?
  10. POL25

    Naona aibu kusema nina masters ya Mzumbe

    Yanapeana Ovyo Ovyo Mpaka Yanashindwa Kuelezea Nchi Zinazo Unda Muungano Wa Tanzania!!!!!!
  11. POL25

    Kwanini waliosoma Sayansi ndio waliotemwa sana na TCU?

    Anaropoka huyo kuna watu wamefaulu vzur na bado wameachwa,fanya uchunguzi kwanza
  12. POL25

    Utata wa jina la shule

    Wew jamaa unaleta utani singida kuna chief senge
Back
Top Bottom