Spontaneous abortion ni moja Kati ya Aina kuu za abortion ambayo inaamaana ya kwamba ni abortion ambayo imetokea au inatokea yenyewe tuu bila kuhusisisha medical intervention au surgical ,, yaaani hii ni non induced ambayo pia inaweza ikawa na Aina nyingine zileee , complete, incomplete...
Habari, naomba leo tubadilishane mawazo ya kujenga juu ya hii kitu huenda tukapata source of research. Nina swali juu ya KUHARIBIKA kwa MIMBA saaana swali langu limejikita katika Aina moja tuu ya MIMBA KUHARIBIKA ambayo ni "THREATENED ABORTION" Hii kitu naielewa ila kulingana na maelezo yalivyo...
Kulingana na swali lako ukweli ni kwamba jibu la moja kwa moja ni kwamba, SIASA IMEINGILIA SAANA SUALA LA AFYA HIVYO BAS KILA MTU HUFANYA KAZI KWA KUJILINDA SAANA NA KUCHUKUA UAMZI HARAKA ,,KWA MFANO KUNA KITU KINAITWA TRIAL OF LABOUR yaani hii unampa Mama muda wa kumtizamia kujifungua kwa njia...
Nadhani mtoa mada kapenda kujua sababu zinazopelekea siku hizi OP zimekua nyingi kuliko zamani Ila sio sababu za kawaida zinazojulikana za mtu kufanyiwa OP
Kwa maelezo kama haya ya maumivu tuu mkuu hayawez kuoanisha kupata ugonjwa moja kwa moja kwamba uambiwe kwamba ni tatizo fulan , apana kikubwa amka nenda Hospital kafanya vipimo mkuu ,
Kuna kipind nam ilinitokea nkawaza sana nkafikia atua ya kupima syphilis na HIV aisee ila kuuumbe ilikuaga ni...
Ni kwel KABISA ushaur mzur afu pia wa kutoa ushaur mzur ni pale alipojifungulia maana , ukianza kujifikria kitaalam sababu za mtoto kutokulia ni zip , lazima tujiuloze wakat wa uchungu (labour)ya mama ilikua vip , wenda mtoto alichoka sana (foetal distress), kwa sababu tofaut tofaut au difficult...
Background beat ya ,movie ya kanumba THE STOLEN WILL.
(Tatantalalaaaa ... Tatantaraalaaa tululuntaaaa )
Kuna kitu ntaka kuitumia iyo beat please
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenye background music inayoskika kwenyr movie ya kanumba dar to lagos naomba
(Narudiii nyumban oo nikamuone baba yangu mpendwa)
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaaamu!!! Vizuri kwa mchanganuo huo nami napenda kufaham tafadhari kwa nurse midwife (nurse II) anaweza kuruhusiwa kusoma online upgrading coarse ,kabla ya kumaliza ile miaka ya mkataba ya serikal (miaka miwil kazin )
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba msaada wimbo WA ,mwinjuma mumin wimbo sjui unaitwaje ila unaimba ivi (anameremeta (anameremeta )oo bibi harus anameremeta (anameremeta ) mambo yake si mchezooo ,anatisha kama ukoma ,
Watu wanasema mwinjuma tumemkubali kwa kazi yake anavyoifanya mwisho WA yote tunamzimiaaaa..
Aliye nae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.