Recent content by Pokola

  1. P

    JamiiForums Tanzania GE2015 Mbunge wa Jimbo la Monduli, Julius Kalanga (CHADEMA), ajiuzulu na kuhamia CCM

    Haya manunuzi yenye kukinufaisha chama tawala ni kwa gharama ya kodi za wananchi. Kwa bahati mbaya wapiga kura wengi hawajui, na kukosa ufahamu ni mtaji mkubwa wa chama tawala. Ni rahisi sana kutawala watu wajinga, lakini si rahisi hata kidogo kuwatawala milele.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu amemsimamisha kazi Naibu Kamishna wa Uhamiaji Makao Makuu

    Kuna jengo moja hapo Magomeni Kagera (karibu na sheli ya Oil Com... yaani ndani wanajificha Waturuki kama 50 hivi, for many months hukaa na kutafutiwa vibali "kwa dili" na wanasambaa nchini kirahisi sana. Jengo la ghorofa 5 halina alama yoyote na kageti kadogo sana kamefungwa all the time...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kinondoni, Dar: DC Ally Hapi aagiza mtumishi wa umma kuwekwa ndani saa 48 kwa kumzimia simu!

    Hawa wateule wa mukulu kama vile wanatumia sheria mpya tusizozijua? Maana hata huyu ni LL.B holder wa UDSM na ambaye najua amesoma Administrative Law... kama hoja ikiwa kuwa hii ni ajira yake ya kwanza. Too sad. Manispaa ikishtakiwa inapigwa vby
  4. P

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

    Kwa hiyo ipo siku watamkamata pia Mark Zurkeberg?
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mpemba aliyetajwa na rais ni nani?

    Nahisi na nina hakika 100% kuwa huyu ni mtu anayetokea/mwenye asili ya Kisiwa cha Pemba. Vere sure.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aitwa tena Jeshi la Polisi, ni kuhusu kauli yake ya jana Kisutu

    Bila shaka wewe ni lipolisi.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Hali ya Usalama Jijini Dar inazidi kuzorota, Vyombo vya Usalama vinafanya kazi gani?

    Usalama wa raia umezorota sana Dar nyakati za usiku, si pale Mkwajuni tu. Huku Tabata ndio usiseme. Fear has come.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga atenguliwa Uwaziri baada ya kuingia Bungeni akiwa amelewa

    ... Inawezekana kuna kitu walimwekea, si haba. Very possible hakulewa kwa hiari yake yule. Hawa kina Riziwani na Lugumi wana nguvu sana, na hakuna anayeweza kuwafanya kitu. Wameiweka serikali (na bunge) mfukoni!!
  9. P

    JamiiForums Tanzania NSSF ndani ya ufisadi mzito: Wajanja wapiga zaidi ya Sh. Bilioni 179

    Dah. Nakaribia kuzimia kwa taarifa hizi.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Magufuli anza na Mikataba ya Gas, Madini, IPTL, SYMBION, ESCROW, Lake Oil, Lake Gas..

    Hili la Escrow hatathubutu kabisa kuligusa. Si rahisi hata kidogo.
  11. P

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Wilaya ya Temeke ni Janga - Magufuli pita humo

    Siyo Temake peke yake ndugu. Kinondoni, Ilala ndiyo usiseme. Pale Kisutu je? Na ukisoma hukumu ambazo zimekuwa manufactured na mahakimu wala rushwa ndio utaanguka na kufa. Mimi ni wakili, lakini nimeacha kabisa kwenda mahakamani (mbali na mahakama kuu) kwa sababu ya mambo haya. Magufuli...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Kura Yangu Magufuli, wewe Je?

    Mimi yangu kwa Lowassa
  13. P

    JamiiForums Tanzania Kiroja cha Ngerengere

    Mitanzania bwana... naskia "barabara za Makufuli" etc etc utadhani hela ya kuzijenga haijakopwa. Mnaingizwa kwenye minyororo ya madeni makubwa ambayo mtalipa hadi kizazi cha kumi kijacho, huku mnakenua. Tunataka mabadiliko. Hata jiwe liongoze, lakini siyo CCM tena. Mabadiliko. Mabadiliko.
  14. P

    JamiiForums Tanzania Wabunge wapya wa Bunge lijalo hadi sasa

    Edwin Enosy Swalle - Lupembe (Njombe)
  15. P

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Tutachukua nchi asubuhi

    Kikwete bana
Back
Top Bottom