Recent content by poinyo

  1. P

    JamiiForums Tanzania Lupaso, Mtwara: Rais Mstaafu, Hayati Benjamin William Mkapa azikwa kwa Heshima

    Rip, hakika tanzania tumepoteza jembe, mungu aiweke roho yako mahara pema peponi Sent using Jamii Forums mobile app
  2. P

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020

    Mambo yamekuwa ni burudani ndani ya ccm, na mfumo huu ukiendelea na october utakuwa mzuri sana, wa kuhesabu matokeo hadharani Sent using Jamii Forums mobile app
  3. P

    JamiiForums Tanzania Picha nzuri tena za kupendeza

    Duh hatar Sent using Jamii Forums mobile app
  4. P

    JamiiForums Tanzania NHIF kuzindua vifurushi vipya vya bima ya afya, sasa kila Mtanzania kuzingatiwa

    Ni jambo zuri sana,,tusubir utekelezaji
  5. P

    JamiiForums Tanzania Changamoto za kuoa ukiwa “Senior Bachelor”

    hatari sana
  6. P

    JamiiForums Tanzania Songea na Bus Stand za katikati ya mji

    mm nafikir kwa mtazamo wangu stand ya mjini ambayo imekarabatiwa ibaki kuwa stand ya magari ya mikoan na ile stand ya msamala iwe stand ya magari ya wilayani pamoja na daladala kwa sababu ni kubwa na hii itasaidia kupunguza msongamano wa magari mjini
  7. P

    JamiiForums Tanzania Songea na Bus Stand za katikati ya mji

    mm nafikiri stand ya mjin ambayo imekarabatiwa kwa sasa ibaki kuwa stand ya magari ya mikoani na ile ya msamala iwe ni stand ya magari yanayoenda wilayani pamoja na daladala nafikiri hii itapunguza msongamano wa magari mjin
  8. P

    JamiiForums Tanzania Nataka kumpeleka mke wangu chuo lakini roho inasita

    mpeleke tu hamna tatizo kama yeye mwenyewe anajielewa,,,,mtu kama ni mwizi bac ni mwizi tu ila kama ametulia jua kwamba ametulia ,,kwa ushaur wangu mpeleke chuo na naamin atamaliza vizur kama kweli ana mapenz ya dhat na ww
Back
Top Bottom