Recent content by Poetrystories

  1. P

    JamiiForums Tanzania Leo tujifunze maana ya halisi ya Alama ya Mnyama kabla hatujachukua jukumu la kupata chanjo

    Umesema vyema kama tulipo hapa amri kumi mpya zishaletwa za dunia bado mda mchache tu zianze kufanyiwa kazi dunia nzima
  2. P

    JamiiForums Tanzania Leo tujifunze maana ya halisi ya Alama ya Mnyama kabla hatujachukua jukumu la kupata chanjo

    Kwa hapo najuwa kuna watu wenye mioyo migumu. Maana kuna mpanzi na mbegu zenyewe. " Watakuwa na masikio lakini hawataelewa na watakuwa na macho lakini hawataona." Kwa maana wameifanya mioyo yao kuwa migumu
  3. P

    JamiiForums Tanzania Leo tujifunze maana ya halisi ya Alama ya Mnyama kabla hatujachukua jukumu la kupata chanjo

    Imeandikwa siku za mwisho manabii wa uongo watakuwepo pamoja na makristo wajifanyao kuwa ni Yesu. Mfano kuna huyo mtu yuko Kenya anasema yeye ni Yesu. Yesu kabla hajafa alisema "mtawajuwa kwa matendo yao"
  4. P

    JamiiForums Tanzania Leo tujifunze maana ya halisi ya Alama ya Mnyama kabla hatujachukua jukumu la kupata chanjo

    Ndio ni kila siku lakini kuna ile siku moja ambayo ni Ijumaa ambayo watu hupenda kwenda msikitini kuliko siku zote
  5. P

    JamiiForums Tanzania Wape watoto wako majina mawili ili wajue maana halisi ya uhuru

    Umenikumbusha kuna mtoto mmoja wa kiume wa jirani yangu alikuwa anamajina mengi tangu nilipofahamu akiwa na miaka mitatu minne hivi. Alikuwa ana majina zaidi ya matatu anayoitwa hapo kwao
  6. P

    JamiiForums Tanzania Kisa cha binti aliyebakwa na Wazungu wanne na mbwa wao

    Imenibidi nicheke
  7. P

    JamiiForums Tanzania Tutajie vitabu gani vilikusaidia katika kuongeza uelewa wako juu ya mahusiano, mapenzi

    Story ya " WATU WEMA BADO WAPO", Na kitabu cha " VUTA NI KUVUTE"
  8. P

    JamiiForums Tanzania Kozi gani bora kati ya Logistics and Shipping na Transport and Chain Management

    Najuwa mpk sasa application zimefungwa kama akichaguliwa mwambie anitafute chuoni kwa jina la husna chikwela mie ni mmoja wapo nnaesomea moja kati ya kozi hizo
  9. P

    JamiiForums Tanzania Soma hapa kabla ya kuchapisha andiko lako katika Jukwaa la Stories of Change

    Jinsi ya kuituma hio story unatumaje
  10. P

    JamiiForums Tanzania Soma hapa kabla ya kuchapisha andiko lako katika Jukwaa la Stories of Change

    Ukisoma vizuri kwenye maelekezo ya insta wameeleza zaidi. Wamesema "Shindano linaweza LIKAWA LA ELIMU,..... AU...." Kwahio ni chaguo lako
  11. P

    JamiiForums Tanzania Hellow Jamiiforums

    According to the jamiiforum rules, it said that, not must to use my really name
Back
Top Bottom