Recent content by Podcast

  1. Podcast

    JamiiForums Tanzania Natafuta mfanyakazi wa Dry Cleaner-Mwanza

    Uzoefu sina
  2. Podcast

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana, usicheleweshe maendeleo yako kwa ajiri ya kuboresha maisha ya girlfriend

    Vijana hawawezi elewa acha niwape hii yangu ya ukweli kabisa, pale Mji mkuu kuna manzi alinikopa 100k ili amalizie ada alafu kipindi hicho namfukuzia na anakuja room kila siku ila mzigo hataki kutoa, anasema anamsela wake hawezi mcheat....nikakomaa ivyoivyo. Nikachukua 100k nikampa. Keshi yake...
  3. Podcast

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilishawahi kuumbuka kwa mwanamke nisiemjua vizuri ila kwa sasa ndie mke wangu

    Sema unasherekea mapama sana nilijua ndoa inamiaka 5 tayari
  4. Podcast

    JamiiForums Tanzania Unabadilisha simu kila baada ya muda gani? Na vipi vipaumbele vyako unavyobadilisha?

    Simu yangu niliyotumia kabla ya hii nilinunua 2018-2025
  5. Podcast

    JamiiForums Tanzania Kuna aliyewahi kufanya hii kazi za TTCL fiber wakala?

    Hivi hii sio kama ya kusajiri laini kweli?
  6. Podcast

    JamiiForums Tanzania Tujadiliane hapa kuhusu kufungua kampuni ya kuchimba madini, taratibu zake zipo vipi? Na pia wadau tushirikishane migodi mipya

    Unajua kwamba unaweza piga hii solo bila kampuni na mambo yakaenda vizuri tu, sikia tafuta watu unaowaamini watie hela wewe nenda katafute eneo la kuchimba na leseni kama utapata lakini, ukikosa nunua udongo chenjua kampuni utakutana nayo ukianza kupata faida
  7. Podcast

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wakuu! Nimekuwa mtu wa kimoja chali nifanyeje?

    Hii muhimu huwa naoga kila baada ya bao moja narudi upyaaaaa😬
  8. Podcast

    JamiiForums Tanzania Nitaisifia ICC pale itakapoendesha kesi ya Wakoloni enzi za utumwa, endapo Watumwa wa Afrika hawatapata haki yao basi itakuwa ni Mahakama ya kinafiki

    inabidi uipeleke kama wenzio walivyopeleka nyingine ili uache kulaumu kwa nini hawasikilizi wakati umeipeleka
  9. Podcast

    JamiiForums Tanzania Nitaisifia ICC pale itakapoendesha kesi ya Wakoloni enzi za utumwa, endapo Watumwa wa Afrika hawatapata haki yao basi itakuwa ni Mahakama ya kinafiki

    Sizani kama unanielewa unaanza kusikiliza vipi na hakuna aliyeipeleka
  10. Podcast

    JamiiForums Tanzania Nitaisifia ICC pale itakapoendesha kesi ya Wakoloni enzi za utumwa, endapo Watumwa wa Afrika hawatapata haki yao basi itakuwa ni Mahakama ya kinafiki

    "Mahakama sio mama ako ikupe kitu ambacho hujaomba" hii kauli inatumika sana Mahakamani. Ni nani ameenda kufungua iyo kesi unayotaka wewe isikilizwe?
  11. Podcast

    JamiiForums Tanzania Namna Mange Kimambi anavyoweza kuletwa nchini kujibu tuhuma zake

    Subiri kwanza twende taratibu umesema Marekani na Tanzania wana Mutual Legal assistance treaty (usaidizi kwa kisheria) iyo ni kitu tifauti kabisa na Extradition ili mtu aweze kuletwa vinatakiwa kuwepo vyote.. Jielekeze vizuri kwenye hicho unachotaka kueleza
  12. Podcast

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Mkuu, Mwigulu: Kumwaga damu isiyo na hatia siyo baraka, tuiunge mkono Tume

    Hata kusema maandamano hawezi misuko suko ni nini?
  13. Podcast

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Baraza la maaskofu Tanzania (TEC) mnatukosea sana wakatoliki

    Maelezo ni kama rushwa hatutoi wala hatupokei
Back
Top Bottom