Recent content by Poba Crew

  1. P

    Natafuta mke

    Naitwa Prosper naishi Ndanda wilaya Masasi mkoan Mtwara umri wangu ni miaka 25 ni mkiristo na elimu yangu ni kidato cha nne. Natafuta mke ,umri kuanzia 17-24 sichagui dini kabila wala elimu. Niko serious na nilichokiandika hapa sijaja hapa kuzuga watu. Kama una nia we mwanamke nitafute...
  2. P

    Msaada: Orodha ya majina waliochaguliwa diploma ualimu

    Hivi naweza,soma mtaani af nikaenda kufanya mtihani wa kidato cha sita kwa cbg? Mana mi naona km inakuwa vgumu hasa kwenye ishu ya practicals,kweli nikafanya na kufahuru vzuri? Na inatakiwa nipate tuition ya aina gan kulifanikisha zoeli hilo? Wazoez naomben mchango
  3. P

    Msaada: Orodha ya majina waliochaguliwa diploma ualimu

    Nimeshindwa kuyapata au kuona majina ya watu ambao wamechaguliwa diploma in education second selection ambao NACTE wametangaza mnamo 31 march,kwaio tafadhari ambaye amefanikiwa kuona naomba anirahisishie nami niweze kuangalia,anaweza kuniorodheshea apa au ukanitumia kwnye email yangu ambyo ni...
  4. P

    Msaada: Orodha ya majina waliochaguliwa diploma ualimu

    Naomba mniwekee majina ya,watu waliochaguliwa kujiunga na diploma ualimu second selection march intake
  5. P

    Msaada: Orodha ya majina waliochaguliwa diploma ualimu

    Naomba msaada,nimeshindwa kupata orodha ya majina ya waliochaguliwa ualimu diploma kwenye hii second selection ambayo wameyatoa Nacte tarehe 31 march,kwaio naomba aliyeona aorodheshe nami niweze kuyaona,waweza orodhesha apa au nitumie kwnye email yangu hii Prosperlucas21@gmail.com. Nawaombeni...
  6. P

    Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    Hapana bhana,wimbo wa diamond ft p square bado hujatoka. Huo ni Wimbo wa Iyanya ft Diamond unaitwa Nakupenda/Ilove you. so kuen na subira team wasafi ngoma ft P sQuare iko jikoni.
  7. P

    Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    poa poa,kamanda nitavuta subira. af pia nimesoma Tale anasema mpk kufikia machi watakuwa wameachia mizigo minne ikiwemo aliyoshirikishwa na fally ipupa. Watatukoma na team zao ambazo hata daraja la 3 bado wanataka waingie League kuu!
  8. P

    Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    Jana nimepata repot kuwa katoa audio wimbo mpya unaitwa Maradhi ya moyo,kwa yeyote aliyenae anipe kupitia WhatsApp 0788411198,Ninavyomkubali jamaa inaniuma kuona,mpk sasa cjauckiliza! Hao left side waendelee kuroga wkt wameshaambiwa SAUTI IMEMSHINDA IBIRISI! Naomben huo wimbo tafadhali!
  9. P

    Serikali yaridhia watu kutumia tiGo kwa buku tu

    Sipendi,nitasikiliza Radio Tu!
  10. P

    Ananikata Stimu....!"!

    Habarini wadau,naomba mnisaidie hili suala,shangazi yngu ana saluni ya kike(dressing saln),ni wk 2 sasa kuna mfanyakaz amekuja wa apo salun,na tangu amekuja sio siri nimetokea kumpenda na nikamfungukiaa vizuri na kunijibu kuwa anaogopa mambo yatajulikana kwa shangazi yngu au kwa familia kwahyo...
  11. P

    Mke wa shida na raha!

    Evelyne Mwanamke Umri Ni 19-26,tafadhari Nitafute Kwa Namba Zangu Hzo!
  12. P

    Sina Swaga za kula mzigo!

    We Akili Zako Zmejificha Km Kobe Anavyojifcha Kwny Gamba Lake, Sipendi Taks Bubuz!
  13. P

    Sina Swaga za kula mzigo!

    Asante,nadhani Hapo Ndo Nilikuwa Nakosea Kwani Nimekuwa Nakurupuka Tu,lakin Vp Kwa Wale Masagaplasha Unamuona Leo Tu Yawezekana Ucmuone Tena?
  14. P

    Sina Swaga za kula mzigo!

    Gud advice, i will do dat! thanx
  15. P

    Mke wa shida na raha!

    Naitwa Prosper Lucas nina miaka 22,naishi tandahimba mtwara tanzania,elimu yangu kidato cha 4,natafuta mwanamke ambaye baadae atakuwa mke wangu,asiyebabaika na shetani pesa,awe mwenye kutaka maendeleo.aliyekuwa tayari anitafute kupitia 0717195730 na 0684147428
Back
Top Bottom