Recent content by Pmoses95

  1. Pmoses95

    Malengo yako ya mwaka huu yametimia?

    Heri Yako umerudi nyumba kwa mwaka mmoja. Mm 2022 nimeinuka kidogo baada ya kurudi nyuma kwa miaka 7 mfululizo. YAANI tangu 2014 - Dec 2021
  2. Pmoses95

    Malengo yako ya mwaka huu yametimia?

    Tarehe 31 Dec 2021. Nilijiwekea malengo ya kutimiza 2022. Wakati huo Sina hata mia , YAANI nimefulia Sana. Ikumbukwe kuwa Sina Ajira. KWA IMANI KABISA NILIMUOMBA MUNGU ANIWEZESHE KUTIMIZA YA FUATAYO. 1. Kupaua frem zangu Tatu za biashara. Hlo lilikuwa lengo langu kuu lkn sikujua nitapata...
  3. Pmoses95

    Fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba nipo hapa

    Hatimae nimeiona
  4. Pmoses95

    Kutana na fundi mahiri wa ujenzi

    Karibu kwa ujenzi Imara wa nyumba. Tunajenga majengo ya kawaida na ghorofa. Tunafanya ukarabati wa majengo yaliyo chakaa. Tunafanya ujenzi wa mfumo wa kisasa wa majitaka usiojaa. Bei zetu ni nafuu na zinazingatia maisha ya mtanzania. Tunapatikana Dar es salaam lkn kazi tunafanya popote ndani...
  5. Pmoses95

    Vijana Warusi wameapa kujijeruhi ili kuepuka kuburuzwa kwenda vitani

    Kila kitu mnaita propaganda. Awali zilipotoka taarifa za Urusi kuzidiwa na majeshi ya Ukrain mlisema propaganda. Leo vijana wa kirusi Wana haha kukwepa kwenda kupigana mnasema propaganda. Tuache ushabiki.
  6. Pmoses95

    Hivi kwa umri wa miaka 41 niliofikisha naweza kutoboa maisha au ndio basi tena?

    Hapana nina nyumba dar. Na Bado life haijatengamaa.
  7. Pmoses95

    Hivi kwa umri wa miaka 41 niliofikisha naweza kutoboa maisha au ndio basi tena?

    Namshukuru Mungu nyumba ninayo mkuu. Kwa malazi tu, familia inalala pazuri.
  8. Pmoses95

    Hivi kwa umri wa miaka 41 niliofikisha naweza kutoboa maisha au ndio basi tena?

    Wana JF hivi kuna uwezekano wa kufanikiwa kiuchumi unapokuwa na umri wa kuanzia 41? Mpaka sasa nina mke na watoto watatu. Sina shughuli rasmi, nabangaiza tu. Naanza kuona kama ndoto yangu ya kuwa na mafanikio kiuchumi inafifia. Swali langu ni kwenu ninyi Wana JF. Hivi kuna possibility ya...
  9. Pmoses95

    Hivi Kenya ni Nchi ya Dini ya Kikristo?

    Jiulize pia kuhusu Zanzibar ! Kama ilivyo Zanzibar ndivyo ilivyo Kenya. Tena ni afadhari ya Kenya kuliko zenji
  10. Pmoses95

    Utafiti: Walevi wanalindana maofisini

    Ogopa Sana mtu ambae hatumii pombe. Tena ogopa zaidi mwanaume ambae hatumii kilevi, ni watu ambao hawana shukran na wabinafsi Sana.
Back
Top Bottom