Sendoro Mbazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 3,556
- 2,331
Amenyimwa sensaPole sana Mwalimu umeandika kwa uchungu sana

hakuna Umoja wenye nguvu duniani kama wa walevi, popote pale yaani kingekuwa chama cha siasa wangekuwa wanashindda kila kukicha. ukitaka kukosana na walevi hata humu JF jaribu kuanzisha uzi wa kuwashambulia one Moto wakeHabari zenu.
Mimi ni mtumishi wa serikali Kwa miaka 17 sasa. Kwa muda wote niliofanya kazi nimegundua mengi sana maofisini.
Ifauatayo ni orodha ya namna walevi wanavyolindana maofisini:
1. Bosi mlevi hupendelea wafanyakazi wenzie walevi ktk vifursa. (Sensa walevi wengi waliweka walevi wenzao)
2. Ukifanya kosa wewe usiekunywa linakuwa kubwa.Akifanya mlevi ni dogo na halitafanyiwa kazi(Mlevi mmoja aliishi na mwanafunzi kingono na bado alipewa uongozi).
3. Semina nyingi bosi mlevi atawapendelea kwanza walevi wenzie.
4. Mengine ni ukabila udini na kujuana.
Ongezea,
Walevi tunapeana hizo chance ili tuende kuweka heshima bar😁Habari zenu.
Mimi ni mtumishi wa serikali Kwa miaka 17 sasa. Kwa muda wote niliofanya kazi nimegundua mengi sana maofisini.
Ifauatayo ni orodha ya namna walevi wanavyolindana maofisini:
1. Bosi mlevi hupendelea wafanyakazi wenzie walevi ktk vifursa. (Sensa walevi wengi waliweka walevi wenzao)
2. Ukifanya kosa wewe usiekunywa linakuwa kubwa.Akifanya mlevi ni dogo na halitafanyiwa kazi(Mlevi mmoja aliishi na mwanafunzi kingono na bado alipewa uongozi).
3. Semina nyingi bosi mlevi atawapendelea kwanza walevi wenzie.
4. Mengine ni ukabila udini na kujuana.
Ongezea,
Sio lazima ulewe Sana unaweza ukaenda bar na boss ukamchukulia bia zake tano wewe ukanywa mbili taratibu hawezi kuku force uleweKwahyo bro kwa mimi ambaye sinywi pombe si nitateseka huko ofsini ?
maana ukicheki company nyingi za kiumeni , urafiki wa faida na connection nyingi zinapatikana bar
Umeongea kwa uchungu as if kupewa per diem ya mtu ni haki yako!ila wanywa Soda siwafagilii imagine mtu kapata per diem huko au semina halafu hata kunipa elfu kumi inakuwa kipengele
Mi mwenyewe binafsi Sina urafiki na mtu ambae apigi pombe, wasiokunywa pombe wana roho mbaya na mostly Ni wachawi, halafu ukiwa na shida ukimfuata mlevi ni rahisi kukusaidia kuliko Hawa wanaojitia utukufu bandiaNi sahihi ..kingine walevi NI watoaji wazuri hawapendi kupata furaha peke Yao...ila wanywa Soda siwafagilii imagine mtu kapata per diem huko au semina halafu hata kunipa elfu kumi inakuwa kipengele...ila mlevi mwenzako hachelewi kukwambia twende kiwanja tukapate bia kule akifika Mara nyama choma....kwanini usimpende
Ni ukweli mkuuSio kweli, ila mtu anae kunywa pombe ni wachache sana wenye ngebe za kingese hinyo ni rahisi kwenda nao pamoja kuliko hawa wa vi soda
Mkapa ni mlevi?Mkapa
Lawrence Masha
Charles Kitwanga
Adam Malima
Albert Chalamila
Mkapa alikuwa anakula ma wiskey makubwa na kabla hajanywa alikuwa anapenda Sana kula nyama ya bata... huwezi amini nyama aliyokuwa anakula yeye wewe ukipatiwa huimalizi..it was so great kufanya naye kazi mtu mzuri Sana ila wasaidizi wake walikuwa na kazi kubwa anyway nisiseme mengine.Mkapa ni mlevi?
Tunapenda kamnyweso..x2Habari zenu.
Mimi ni mtumishi wa serikali Kwa miaka 17 sasa. Kwa muda wote niliofanya kazi nimegundua mengi sana maofisini.
Ifauatayo ni orodha ya namna walevi wanavyolindana maofisini:
1. Bosi mlevi hupendelea wafanyakazi wenzie walevi ktk vifursa. (Sensa walevi wengi waliweka walevi wenzao)
2. Ukifanya kosa wewe usiekunywa linakuwa kubwa.Akifanya mlevi ni dogo na halitafanyiwa kazi(Mlevi mmoja aliishi na mwanafunzi kingono na bado alipewa uongozi).
3. Semina nyingi bosi mlevi atawapendelea kwanza walevi wenzie.
4. Mengine ni ukabila udini na kujuana.
Ongezea,
Acha tulindane tu . Kwanza walevi ndio waudhuriaji wazuri wa shughuli za kijamii Kama misibaHabari zenu.