Recent content by pmike

  1. P

    JamiiForums Tanzania Miaka 25 ni mingi sana mtu kuwa bado hujakaa kwenye mfumo kimaisha?

    Story yako inafanan na yangu kaka, nlikuwa sina nikawa nayo na sasa sina ila napambana najua nitarudi soon , every step of life is temporary
  2. P

    JamiiForums Tanzania Asilimia tisini ya silaha za nuclear za Urusi zimesha-expire

    Unajibu kwa hisia na mhemko, unaona sawa raia wanakufa Ukraine kwa vita ambayo ni non provoked !! Anachofanya putin angekifanya tanzania ungeongea hivi!! Do you know how many innocent kids, mothers and disabled communities wanakufa katika hii vita!! Huna roho ya kibidam wewe
  3. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri jinsi ya kumuacha huyu Mwanamke mwenye upendo wa dhati

    Duh ! Nakuelewa sana jamaa yangu, mimi nakushauri kama kakayako nna uhakika nakuzidi umri, nisikilize! : : Love vs wisdom don't share the same memory address : : I mean, hisia (love feelings) ya binadam yeyote vs hekima/busara yake katika kufanya maamuzi havina uhusiano sana, na hii ndio chanzo...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Zelensky: Watu wote wanaokufa Ukraine, wanakufa kwasababu yenu NATO

    Your comment make very big sense
  5. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ningependa kufahamu sifa za "wakwere" hasa wanawake

    Hamna bwana, wanawake wote wabatombwa awe kwenye ndoa awepo au single wote wanacheat!! Kwahiyo bro usioe kwa ofu ya kuwaza kuwa utatombewa ili uwe na marriage maturity lazima ua accept kuwa kutombewa kupo tu basi tunavumiliana , wewe unasema wanawake wa pwan wanatombwa hivi unawajua wambulu wewe...
  6. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ningependa kufahamu sifa za "wakwere" hasa wanawake

    Kutombewa hakuna cha frequency kutombea tu mara moja inakaa kichwani kama kama mvuta bangi pafu moja inakaa miaka 7 hehehehe
  7. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ningependa kufahamu sifa za "wakwere" hasa wanawake

    Hao wasioenda ngomani hawatombwi nje?!!
  8. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ningependa kufahamu sifa za "wakwere" hasa wanawake

    Huwezi kumzuia mtu kupenda mila yake as long as she does it for good sake, ndoa sio jela bro
  9. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ningependa kufahamu sifa za "wakwere" hasa wanawake

    Hehehehe huyu jamaa sadist
  10. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ningependa kufahamu sifa za "wakwere" hasa wanawake

    Hehehe hongera mkuu , naona wote tutakuwa wakwe huko
  11. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ningependa kufahamu sifa za "wakwere" hasa wanawake

    Hongera kaka, all the best of luck
  12. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ningependa kufahamu sifa za "wakwere" hasa wanawake

    Brother, oa mke usiangalie kabila just look tu kuwa huyo bibie anakufaa maishan mwako, binafsi nina mchumba wa kabila hiyo and honest she's is very good kwa kila kitu, anavaa kwa heshima, mzuri sana, mpole sana ,and ana akili! your wife will leave with your depend on how you treat her, OA KABISA BRO
  13. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ahmed Salim hakuwa mgombea wa Urais wa CCM mwaka 2005?

    Katika kitabu cha “My Life My Purpose” ambacho Rais wa tatu, Benjamin Mkapa ameandika kuhusu mapito ya maisha yake, amesimulia alivyopata wazo la kugombea urais mwaka 1995, kuwa alijiona ana uwezo kuliko waliotajwa na waliojitangaza. Mkapa anasema alikwenda kwa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius...
  14. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

    Cheat woman (wife) hapewi msamaha, personally nimewahi kushindwa kusamehe mwanamke aliyecheat end of the day we breakup. Guys, living with a cheat wife is the same as living with snake in the same house roof kama uko jela vile , manake kwa mtu kama mm nkimuona tu anatembea nakumbuka alichofanya...
Back
Top Bottom