Ningependa kufahamu sifa za "wakwere" hasa wanawake

Ningependa kufahamu sifa za "wakwere" hasa wanawake

Huwezi kumzuia mtu kupenda mila yake as long as she does it for good sake, ndoa sio jela bro
 
Asante mkuu, baada ya purukushani za muda mrefu, nimemuona nimtu sahihi kabisa, hatimae naisubili siku ifike nikabidhiwe mke wangu.

Hatimaye unakaribia kugraduate ukapela...hongera

Sasa mkuu inabidi utoe feedback namna umeona Wakwere vile wapo...
 
Sasa huko ngomani na kwenye mishemishe wanaotaka kwenda sana kunafanyikaga mambo mengi sana!
 
Hatimaye unakaribia kugraduate ukapela...hongera

Sasa mkuu inabidi utoe feedback namna umeona Wakwere vile wapo...
Mkuu sasa nizaid ya Miaka 5 tupo pamoja, kwa namna alivyo nimeridhia anamapungufu kama binadamu wengine, lakini muhimu zaidi nachopenda kwake anajiheshimu nakupenda Watu, pia nimtu wadini sana, ingawa Mimi ndio nilikua nachangia kumuharibu hasa Katika suala la zinaa.
 
Sasa huko ngomani na kwenye mishemishe wanaotaka kwenda sana kunafanyikaga mambo mengi sana!
Mkuu kama sio ngomani kwa wanawake basi wataenda kwenye vichenparty,sandoff na vitu vingine kama hivyo ,lamsingi nimeridhia kwa namna alivyo anafaa kua mkewangu wa ndoa.
 
Mkuu kama sio ngomani kwa wanawake basi wataenda kwenye vichenparty,sandoff na vitu vingine kama hivyo ,lamsingi nimeridhia kwa namna alivyo anafaa kua mkewangu wa ndoa.

Sawa, kipendacho roho hula hata nyama mbichi.

Ilimradi usijekusema hukuyajua.

Umetuuliza tunakwambia baadhi ni hayo kama unakubaliana nayo uamuzi ni wako.
 
Hao wasioenda ngomani hawatombwi nje?!!

Inawezekana frequencies zikawa tofauti Kwa hiyo kundi fulani likawa linatumika sana kupita kiasi kuliko lile lingine.

Na Kwa hiyo hata level of risks magnitude zikawa zinatofautiana.
 
Kutombewa hakuna cha frequency kutombea tu mara moja inakaa kichwani kama kama mvuta bangi pafu moja inakaa miaka 7 hehehehe
 
Kutombewa hakuna cha frequency kutombea tu mara moja inakaa kichwani kama kama mvuta bangi pafu moja inakaa miaka 7 hehehehe

Ha ha haaa

Nakataa mimi hiyo bana!

Huwezi linganisha na wale ambao hiyo inakuwa ni life style yao.

Yani yeye anachojua ni kuwa chungu au sufuria huinjikwa na kukaa kwenye majifya matatu.
 
actually, makabial ya pwani yanapenda sana ngono tangu udogoni, hivyo akifika kijana jua amechoka sana chini.
 
Hamna bwana, wanawake wote wabatombwa awe kwenye ndoa awepo au single wote wanacheat!! Kwahiyo bro usioe kwa ofu ya kuwaza kuwa utatombewa ili uwe na marriage maturity lazima ua accept kuwa kutombewa kupo tu basi tunavumiliana , wewe unasema wanawake wa pwan wanatombwa hivi unawajua wambulu wewe hehehehe brother you are un experienced fella!!
 
Back
Top Bottom