Jamani naomba kuuliza kama kuna anaye fahamu kuhusu alipo mwandishi wa blog ya salimmsangi.blogspot.com,imepita miaka mingi sasa sijaona akiposti.Nimejaribu kuipitia tena makala yake ya dola ya kishetani na ushoga aliyo iandika november 2 mwaka 2015 lakini mambo mengi aliyo kua akiandika ndio...
Nimeanza kuifatilia Jamii forum tangu 2011....lakini kujiunga nimejiunga mwaka huu tu, swali langu ni kwa nini watanzania wanakua siyo wapenzi wa kujisomea?
Wengi wanapenda habari fupi fupi tu tena za udaku, ushabiki wa kisiasa n.k ukiweka topic ndefu wanakwambia hiyo sisi hatusomi....fatilia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.