Recent content by Pleasure

  1. Pleasure

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyokwepa kusingiziwa mimba.

    Kulea mtoto wa mwanaume mwenzio ni ngumu kumesaa eeeh! Ila mwanamke kulea mtoto wa mwanamke mwenzie haina shida siyo..! Tulieni muwalee bana
  2. Pleasure

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimefanya mapenzi na msichana mwenye UKIMWI

    Umesema yote mkuu
  3. Pleasure

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina mtoto 1, nimepata mchumba ananipenda ila simpendi, nifanyaje?

    Yaani! Hapo ni shida yenyewe
  4. Pleasure

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumbe mpenzi wangu wa zamani ni boss wangu

    Kumbe jibu unalo mkuu. Usikilize moyo wako, hutajuta kamwe
  5. Pleasure

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I miss those days

    Haahaahaa! Hapo umeuaa! mbafu sangu mie! Dah! Kweli tunatoka mbali
  6. Pleasure

    JamiiForums Tanzania Home gym Mwenge yasherehekea miaka 17 tangu kuanzishwa

    Safi sana. No Pain No Gain....hamasisho kwa jamii
  7. Pleasure

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usafi ukeni - Sharing is caring

    Teh! Hiyo ya kupuliza na pafyumu naona ndo kuharibu kabisa, uke ukiwa safi, hakuna fangasi wala maambuki yoyote. ..harufi yake ya asili inaraha yake....kitu asilia...sijui kwa anayezama chumvini akakutana na harufu ya pafyumu inakuwaje mie naona ni kujichanganya na kusaka maradhi mengine
  8. Pleasure

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usafi ukeni - Sharing is caring

    Zile zinatoka zenyewe, kikubwa ni kujisafi tu kwa nje, maana hata ukisema upeleke kidole naamini hakifikii urefu wa dushee ambalo ndo linazitema...kwa hiyo kidole hakifiki popote. Mbegu zitakazokuwa zimebaki njiani zitatoka zenyewe...huo ndo uelewa wangu, ila wataalamu wa afya pia waweza...
  9. Pleasure

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usafi ukeni - Sharing is caring

    Pole wakuu, nitajitahidi kufanya hivyo
  10. Pleasure

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usafi ukeni - Sharing is caring

    Hayafai, ni bora kuhusisha wataalamu wa afya na hasa inapohusisha afya mwili wako
  11. Pleasure

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usafi ukeni - Sharing is caring

    You are welcome Rosemary Kisanga
  12. Pleasure

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke niliyemsaidia na kumpenda ametoroka na mtoto wangu

    Pole sana mkuu. Naamini Mungu atakufanyia wepesi katika hili. Uwe na subira
  13. Pleasure

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke niliyemsaidia na kumpenda ametoroka na mtoto wangu

    Pole mkuu. Weka wazi unapewa majibu gani hapo Ardhi kwa huyo mama aloenda masomoni?
  14. Pleasure

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Treat a Man like a Man! ukimlea lea mwanaume you are turning him to something even you wont like it

    Safi, you said it well
  15. Pleasure

    JamiiForums Tanzania Nane nane mwaka 2015: Matembezi ya hisani ya wana JF kuchangia wagonjwa Ocean Road

    Wazo zuri Mtambuzi, ​tuko pamoja sana
Back
Top Bottom