Recent content by Please God help me

  1. P

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wenu; nina shida ya namba ya ofisi za NIDA zinazopokelewa kwa wakati

    Bas wasubiri wapokee Sent from my SM-G965F using JamiiForums mobile app
  2. P

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wenu; nina shida ya namba ya ofisi za NIDA zinazopokelewa kwa wakati

    Unashida gani? Sent from my SM-G965F using JamiiForums mobile app
  3. P

    JamiiForums Tanzania Nin maana ya ndoto hii

    Jaman mimi ni ke Sent from my SM-G965F using JamiiForums mobile app
  4. P

    JamiiForums Tanzania Nin maana ya ndoto hii

    Nimekuwa nikkiota ndoto hii mara kwa mara ...ya kwamba naota mim na mpenz wangu tunafanya mapenz nyumban kwa mama ..wakati tunaendelea namwambia aanze kujiandaa mama ana karibia kurud yeye anakuwa mkaidi ..mara mama anarud nje anakutana na bibi,bibi anamwambia nenda chumban kwa mwanao uone...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Tafsiri za ndoto na ufafanuzi wake siku ya leo

    Mim usiku wa leo nimeota nilikuwa safar kwebye gar mara gar ikaharibika na ikatubidi tukae hapo kijijin kusubiri gari .wakati tunasubiri mim nikamuona binti mmoja nikavutiwa nae ivyo nikaanza harakat za kutaka kufanya nae mapenz na kweli kukawa na mpira kwenye tv watu wote wa pale kijijin na...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Fixed deposit kwa sasa hazina faida tena

    Fixed deposit sio biashara ile mzee ...fixed deposit ni kwa ajili ya mtu mwenye pesa ambaye kwa wakati huo hana mipango nazo au kazi nazo hivyo anaenda kuziweka bank ili mtu ambaye kwa wakat huo ana mipango ila hana hela aje kuzikopa ili atimize mipango yake .ingekuwa fixed deposit ni biashara...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

    Kuna mtu alikuwa anaitwa Juma Ngida huyu alikuwa mtoto wa mjini kweli kweli na hela ilikuwepo...huyu ndio mtu wa kwanza kuingiza hizi gari Rav 4 mpya nchini ..kipindi mererani inaanza kuchimbwa jamaa akaanza safari akaenda kufika arusha wakamwambia mzee hiki kipindi cha mvua saa hivi barabara ya...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Jinsi mchina alivyowatapeli maelfu ya wa Kenya dollar million 10 na kuwatukana kwenye crypto currency

    Wajinga hawawezi kuisha....huwa nawaonea huruma sana vijana tena wa kimasikin ambao wanaliwa hela zao kwenye haya makamali ya wachina ..alaf wachina wenyew wanaishi a very luxury life. Nilishawshi kuwajuta sehem za starehe
  9. P

    JamiiForums Tanzania Shule ya Sekondari Mtwango yaanza kuchukuliwa kiudhalimu

    Hiv nyudike amefariki...mwalim wangu yule mzee
Back
Top Bottom