Recent content by Platnum Venance

  1. P

    JamiiForums Tanzania Mabifu kwa wasanii wa tanzania

    Hivi hili suala la wasanii wa kike kutoelewana unalichukuliaje kwa 7bu naona kila siku wanapigana madongo EATV mara Snura na Wema hawaelewani ooh sijui Shilole na Flora Mvungi mmm haya bwana eti na sisi tunawaita vioo vya jamii mimi hapana kabxa hapo......nachowashauri WAACHE MABIFU NA...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Sijui ni udomo zege......

    Jamaa fulani alimuita dem bar kiroho safi dem akaitikia wito alipofka akamuuliza "umeniita hapa ila sijui una shida gani" jamaa nae akamjibu "nataka kukutongoza ila nasubiri mpaka ulewe" ......ha ha ha ha ha ha ha ha je umeipenda???....
  3. P

    JamiiForums Tanzania Mtela Mwampamba kuanika ukweli kuhusu Masalia na muasisi wa PM7 leo tar. 21-1-2013, EATV (Hot-Mix)

    Ki ukweli mi nashindwa kuwaelewa hawa wanasiasa yani wanakuwa na mitazamo tofauti kama huwa unaangali kipindi cha Hot Mix kinachorushwa na tinga no. 1 kwa vjana East Africa tv utakuwa shahidi xaxa mimi mpaka hapo cjui nimuelewe nani......
  4. P

    JamiiForums Tanzania Rais asiwe na nafasi kubwa kwenye chama

    Hapa nilikuwa napendekeza kuwa Rais asiwe mkuu ktk chama chake awe chn ya chama hii itamrahsishia mwenyekt kumbana Rais kutekeleza ilani za chama......Ni hayo tu wana JF
  5. P

    JamiiForums Tanzania Suala wanafunzi kufeli mtihani robo tatu ya darasa nani alaumiwe......

    Katika shule niliyohtim mimi inaiyoitwa Nakoza Secondary ni robo ya wanafunzi tu ndo wamefaulu mtihani wa kidato cha pili sekondary ye2 ni ya kata kwa hyo kila m2 anaish kwao....sasa KUTOKANA NA MATOKEO HAYO NANI TUMLAUMU KATI YA HAWA? 1.MWANAFUNZI KUTOJISOMEA 2.MWALIMU 3.MZAZI KUTOMUHMIZA...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Jaman ntafutieni chuo cha ku_apply dada angu hata nafasi ya moja kwa moja ana div. IV ya 29
Back
Top Bottom