Recent content by plan z

  1. plan z

    JamiiForums Tanzania Nimejiunga siku ambayo JF imefungiwa

    Noma sana
  2. plan z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo yanayomtofautisha mvulana na mwanaume

    Hapo issue kubwa ni utofauti kitabia
  3. plan z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo yanayomtofautisha mvulana na mwanaume

    Tusubiri wahusika watutofautishie
  4. plan z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo yanayomtofautisha mvulana na mwanaume

    Sasa bora sex kuliko kujichua
  5. plan z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo yanayomtofautisha mvulana na mwanaume

    Noma sana
  6. plan z

    JamiiForums Tanzania Katikati ya harakati za 50/50 kinyume chake wanawake wengi siku hizi hawana furaha

    Ndo maana nikasema kuna jambo linakusibu, ulichokiandika sijakizungumza, umejibu kitu tofauti kabisa.
  7. plan z

    JamiiForums Tanzania Katikati ya harakati za 50/50 kinyume chake wanawake wengi siku hizi hawana furaha

    Unahitaji ushauri, kuna jambo lina kusibu
  8. plan z

    JamiiForums Tanzania Katikati ya harakati za 50/50 kinyume chake wanawake wengi siku hizi hawana furaha

    Nina mengi sana ya kuchangia kuhusu hili ila naona uvivu kuandika, ila kiufupi wanawake wengi ni wabinafsi, wanataka wafanye kazi kama wanaume ila hawataki kugawana majukumu na mwanaume, wao wanataka wapokee tu na kuhudumiwa na mwanaume ila pesa zao wanafanyia mambo yao wanayoyajua wao. Ushauri...
  9. plan z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo yanayomtofautisha mvulana na mwanaume

    Nadhani watajirekebisha kimya kimya
  10. plan z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo yanayomtofautisha mvulana na mwanaume

    Mambo yafuatayo yameorodheshwa kuwa ndiyo tofauti kuu kati ya mvulana na mwanaume 1. Uwezo wa kukabiliana na magumu. Mvulana akipata magumu hulalamika au kukimbia kabisa magumu yake, mwanaume anapambana hadi mwisho 2. Majukumu. Namna kila mmoja anavyotimiza majukumu yake bila kulalamika 3...
  11. plan z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemsomeshea watoto na sasa hanitaki tena bila sababu

    Hii story si yako, umecopy ukatafsiri lugha
  12. plan z

    JamiiForums Tanzania Tafakari point moja baada ya moja ya utabiri wa neno la Mungu wa nyakati za mwisho.

    Basi mimi niachie hao wadada wengine wote waliobaki
  13. plan z

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nathubutu kugombea Ubunge

    Akimaliza kunywa maji mnishtue
Back
Top Bottom