Recent content by PLAN B

  1. P

    JamiiForums Tanzania Alphonce Mawazo achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita

    jembe sana jamaa binafsi namkubali sana
  2. P

    JamiiForums Tanzania Daah Ajira ngumu aisee!

    mungu yupo utafanikiwa tu hakuna wa kuchukua riziki yako
  3. P

    JamiiForums Tanzania Daah Ajira ngumu aisee!

    mungu yupo utafanikiwa tu hakuna wa kuchukua riziki yako
  4. P

    JamiiForums Tanzania 2 vacancies for volunteers

    jaman naulizia kama bado mnaitaji watu make ndo nimeona ii thread saivi naomba msaada jaman
  5. P

    JamiiForums Tanzania 2 vacancies for volunteers

    jaman naulizia kama bado mnaitaji watu make ndo nimeona ii thread saivi naomba msaada jaman
  6. P

    JamiiForums Tanzania Urasimu wa NIDA, vitambulisho vya Taifa

    Hawa NIDA wanafanya kazi kwa mazoea kwani ofisi zao za Wilaya ya Temeke zilizopo Kigamboni muda wote zimefungwa ila ukienda na gari ndo unaruhusiwa kuingia make kwa sisi wananchi wa kawaida haurusiwi kwenda pale hata kuulizia masuala ya utendaji wao wa kazi na kuhusu mapungufu yaliyopo kwa...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Urasimu wa NIDA, vitambulisho vya Taifa

    Wana jamvi, Mamlaka ya iliyopewa dhamana ya kuratibu mchakato wa vitambilisho vya taifa imeonesha udhaifu mkubwa sana na urasimu wa hali ya juu. Kwanza,utoaji wa ajira za muda mfupi kwa vijana wanaohusika na upigaji picha.NIDA wametoa ujira kwa usiri mkubwa sana na kwa taarifa za kuaminika ni...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa vyombo vya habari kutoka kwa umoja wa wanafunzi waliofukuzwa vyuo na vikuu nchini

    poleni sana ila siku moja mungu atawapa neema ninaamini mtashinda vita ii chakufanya kuweni wamoja mtashinda haki yenu
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kasoro kubwa katika video ya Lwakatare

    ccm wamechemka sana wajipange upya
  10. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

    MBINU YA KUHUJUMU KURA ZA RAILA ILIFANYWA NA UHURU KUPITIA IT ii mbinu imegundulika kupitia mtandao wa safaricom na kubaini kura zake zilikuwa zikibinywa na wataalam wa IT katika matokeo ya awali na washukiwa wote watachukuliwa atua na tume ya IEBC
  11. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

    Ngoma bado mbichi kwani wameanza upya kuesabu kura uwezi jua kete itaenda kwa nani ila inavosemekana kura za Raila zilikuwa bado hazijaesabiwa na sasa ndo zimeingia boma uenda wakaenda round ya pili 2subili
  12. P

    JamiiForums Tanzania Kardinali Pengo, Simama au na wewe staafu kama yamekuzidi...

    kiukweli tumechoka kuona TEKI na PENGO wapo kimya tunataka tamko na utekelezaji wa matamko kama wameshindwa watwambie tuingie barabarani make hatuwezi kukubali viongozi wetu wa kidini wanauwawa kila siku
  13. P

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya wapinzani RUKSA! Polisi kuwapa ulinzi...

    makamanda njooni kwa wingi tupo tazara na watu wanakuja kwa wingi sana
  14. P

    JamiiForums Tanzania Exclusive: Hukumu ya kesi ya Mh. Godbless Lema iliyosomwa Disemba 21, 2012

    MH.Tundu A. Lissu amekuwa gwiji wa taaruma ya kisheria nchini kwa kuweza kuonesha ufundi na weledi mkubwa katika kesi zote alizozisimamia mfano mzuri ni kesi ya mh. Lema, kesi ya kupinga ubunge wake na nyigine unaweza kuongezewa ivyo anaitaji pongezi kubwa sana.Kiukwei the he is very smart anvd...
  15. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni taasisi lakini linapokuja suala la Dr Slaa ni taasisi nyingine!

    rais wa mioyo ya watanzania ni dr slaa no 1 else
Back
Top Bottom