Recent content by PLAN B VERYFIED

  1. PLAN B VERYFIED

    JamiiForums Tanzania KWELI Mafinga imenyesha Mvua iliyoambatana na Barafu

    Baadhi ya maeneo ya Mafinga Mjini, mkoani Iringa, jana yamepata mvua za barafu ambayo kwa mujibu wa baadhi ya wakazi wakisema haijawahi kutokea huku wakiifananisha na ile ya nchi za Ulaya. Siku ya jana Oktoba 1, ilinyesha mvua hiyo ya barafu na kusababisha theluji kutanda barabarani na kwenye...
  2. PLAN B VERYFIED

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliyejioa mwenyewe ajipa talaka kisa upweke

    Mshawishi wa Kibrazili #SuellenCarey, ambaye aligonga vichwa vya habari mwaka jana kwa kujioa kama kitendo cha ujasiri cha kujipenda, sasa amewasilisha kesi ya talaka kutoka kwake mwenyewe huku akisema amekuwa mpweke. . Baada ya kukaa vikao kumi na Mwanasaikolojia aligundua kuwa kujitoa kwenye...
  3. PLAN B VERYFIED

    JamiiForums Tanzania Kama Tajiri Max angekuwa analipa unahisi ni mwana JF gani angekuwa Tajiri?

    Yule ambaye wanamtaja sana anaitwa chai Free THE BEEKEEPER
  4. PLAN B VERYFIED

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nadhani mimi ndie mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote JF

    Chai Free THE BEEKEEPER 🐝
  5. PLAN B VERYFIED

    JamiiForums Tanzania Taswira nyuma ya kinyago

    Du? Free THE BEEKEEPER
  6. PLAN B VERYFIED

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Jifunze kuandika vizuri
  7. PLAN B VERYFIED

    JamiiForums Tanzania The rise of Sauli luxury buses

    Nipo nacheki kipindi Cha tatu game on🔥
  8. PLAN B VERYFIED

    JamiiForums Tanzania Dua yenye nuru, itikia amiin

    Yesu mwema
  9. PLAN B VERYFIED

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa la wamasai ni lipi?

    Hello rafiki
  10. PLAN B VERYFIED

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa yanga humu jf hawajui utani wa jadi ni nini wanaomba nipigwe ban na wanatukana

    Unauwakika sio Kila I'd mtu anayo fungua unazani ni wa mwaka huo watu Wana I'd nyingi tulia kama hujui kitu shobo zako zitakuponza
  11. PLAN B VERYFIED

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mchepuko ana masharti magumu sana, ni binadamu halisi kweli au nimevamia kambi? 🤔

    Acha ubaguzi sisi wengine hatuna majukumu Wala mihangaiko
Back
Top Bottom