Recent content by plainpaper

 1. plainpaper

  Ujumbe huu naomba uende moja kwa moja kwa Kangi Lugola na Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza

  HIzo ndio tuhuma zake hasa hiyo uliyotaja ya mwisho
 2. plainpaper

  Ujumbe huu naomba uende moja kwa moja kwa Kangi Lugola na Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza

  Hajanifanyia mimi, mimi ni reporter, m niko dsm ujumbe huu nimepenyezewa na raia mmoja wa huko MZA
 3. plainpaper

  Ujumbe huu naomba uende moja kwa moja kwa Kangi Lugola na Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza

  Naanzaje mkuu, mimi nipo DSM hii story nimepenyezewa na raia mwema mmoja alieko huko pori.
 4. plainpaper

  Ujumbe huu naomba uende moja kwa moja kwa Kangi Lugola na Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza

  Ujumbe huu naomba uende moja kwa moja kwa Kangi Lugola na Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza. Nduguzanguni kwanza nawapongezeni kwa kazi nzuri mnayoifanya kwa kuhakikisha raia na mali zao wanakuwa na salama muda wote. Pamoja na sifa zote hizo lakini siwezi kunyamaza kwa kuona unyama unaondelea...
 5. plainpaper

  Wenzangu mlivuka vipi haya maumivu makali ya kuachwa?

  Kuna mtoto mdg ana miezi tisa. Ninavumilia afikishe miaka 2 niliamushe dude lakn kwa muda naandaa replacement kimya kimya
 6. plainpaper

  Wenzangu mlivuka vipi haya maumivu makali ya kuachwa?

  Nimegungua napoteza muda kwa mtu asiekuwa na maana.
 7. plainpaper

  Wenzangu mlivuka vipi haya maumivu makali ya kuachwa?

  Ninaendelea nayo mpaka sasa. Sina amani ninaishi nae tuna watoto lakini nimefikiria kutunduka daluga
Top Bottom