Recent content by pj lufunya

  1. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ukweli mnaujua lakini mnajizima data

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  2. P

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mawakala wa kuagiza bidhaa za mtandaoni

    Tahadhali kabla ya hatari
  3. P

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mawakala wa kuagiza bidhaa za mtandaoni

    Kama nilivyotangulia kusema mimi ni miongoni mwa wasio na uelewa wa namna ya kuagizia bidhaa mtandaoni kama vile Alibaba,Amazon nk Ili kukwepa kukosea namna ya kufanya online shopping naona bora nitumie mawakala wenye uzoefu ili kukwepa upotevu wa pesa Natanguliza shukrani.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua namna ya kufanya malipo ya Games na Applications

    Hapana Hamisi Omary kuna apps za muhimu kuwa nazo ambazo si rahisi kuzi hack mfano poweramp music player na neutron music player hizi ni sawa na mfupa uliyo mshinda fisi Ni bora kununua tu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. P

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua namna ya kufanya malipo ya Games na Applications

    Naomba kujua namna ya kufanya malipo ya Games na Applications mbalimbali katika Google Play Store kwa kutumia Vodacom Mastercard. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. P

    JamiiForums Tanzania Sioni wa kuvaa viatu vya Dr. Magufuli kwa Miaka 20 ijayo

    Kwa hiyo hata ikibidi wafe kwako haina shida?
  7. P

    JamiiForums Tanzania Akiitwa mshamba, mnachekelea. Wao wakiitwa wapumbavu, mnanuna

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  8. P

    JamiiForums Tanzania Makao makuu ACT yahamishiwa Vuga kinyemela?

    Halafu wewe Jamaa umenichekesha kweli kwamba zitto kaona mbalii
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kulialia na kupinga kila kitu ndio mbinu ya kubaki kileleni Ufipa.!

    Kwa kuwa ngosha ataishi milele
  10. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA haikuchagua wawakilishi kwenda kudai karatasi za utambulisho?

    Umetoa hoja kulingana na jina lako
  11. P

    JamiiForums Tanzania Msitufanyie hivyo sisi ndio tuliowafanya mkawa hivyo mlivyo

    Du wakati utaongea
  12. P

    JamiiForums Tanzania maandalizi ya idi

    inafaa kuja ndimu na pilipili kabisa
  13. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ikiwezekana kwa hali inayoendelea sasa mjipange upya

    hivi ninyi mnao jiita my web,sumu,utaifa kwanza,na wengine wengi hivi hamuoni aibu,kuwa mnatumika kama toilet paper kisha mnatupwa. hivi mnadhani CCM,ni kampuni kiasi kwamba ikifa mtakufa na njaa? Jamani adui wa MTANZANIA siyo CHADEMA. nahisi kuna siku mtapungukiwa damu kama siku ikaisha bila...
Back
Top Bottom