Recent content by Pizy

  1. P

    JamiiForums Tanzania Majibu Maarufu Unayoweza Kupewa na Wasomaji Wa Jamii Forum!

    Tafuta pesa.... Umri wako tafadhari....
  2. P

    JamiiForums Tanzania Division 1 ya 9 pccb anaweza pata admission muhas au udom??

    Soon huu huzi utakuwa wa Moto 🔥🔥🔥🔥
  3. P

    JamiiForums Tanzania Crazy things you did in secondary school

    Nakumbuka miaka ya 2016 nikiwa form three miaka hiyo....... Shule ya boarding senti kunani huko mkoani Hile shule bana kulikuwa Kuna miratiba ya kusali Mara nne kwa siku yani hadi kanisa linakuzoea jina.... So mzee baba la baba Kuna siku nikaamua kudoji Yan kutokuenda church asubuhi nikaendelea...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kozi ya Doctor of Medicine(MD) pamoja na Doctor of Dental Surgery (DDS)

    MD ni course nzuri Sana for social status and for future exprience.... Hapa maMDs wanaweza kujiendeleza kwa masters, PhDs and even professors . Soko la ajira Ni Pana Sana unaweza ukaomba sekta za serikali au binafsi kwenye mashirika ya kidini na ya wakimbizi. Wanahitajika Sana ma Cardiologist...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Naihitaji msaada wenu kuhusu haya matokeo

    Mechanical engineering itamfaa Sana NIT hatojuta.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Epuka makosa haya katika wasifu wako unapoomba nafasi ya kazi

    Jaribu kutumia application ya WPS Ina scan viziri sana.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu katika matokeo haya

    Pole sana.... Hata Kama ataenda veta .... kielimu ataishia ngazi ya certificate throughout the life, Kama vipi niaje niaje arudie mtihani.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii ya ushindani admission ya 2020/2021 udaktari. Je, nimepoteza hela yangu?

    Inategemeana one ya 8 ipoje. Kusomea MD unaitajika uwe na vigezo vifuatavyo Biology na chemia Walau C kupanda juu (C mpaka A) na physics uwe angalau ufaulu wa D (D mpaka A) kwenda juu pia matokeo yako ya form four Katika masomo ya Phyz, chemistry, biology uwe na ufaulu kwanzia C (C mpaka A)...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Elimu ya chuo kikuu ni kupoteza muda

    Itakuwa ashawahi kuonja utamu wa SUP
  10. P

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Kozi zinazotolewa na vyuo vikuu vya nje lakini zinatambulika na TCU na NACTE

    Doctor of medicine, bacherol of science in nursing , doctor of pharmacy, BA...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Naihitaji msaada wenu kuhusu haya matokeo

    Asante kiongozi kwahiyo vipi kuhusu boom anaweza kupata
  12. P

    JamiiForums Tanzania Naihitaji msaada wenu kuhusu haya matokeo

    Duh kumbe 😲
  13. P

    JamiiForums Tanzania Naihitaji msaada wenu kuhusu haya matokeo

    rafiki yangu,kasoma CBG...kapata 3 ya 13. Biology E Chemistry E Geography C Course gani itamfaa na ukiangalia soko la ajira lakini yeye anataka akasomee education.
  14. P

    JamiiForums Tanzania Karibu tushauriane juu ya nini cha kufanya na matokeo yako ya Kidato cha Sita 2020

    Environment health services hakika hautojuta.
  15. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Wanavyuo

    Ni sahihi kabisa kiongozi.... Hila kiongozi, mwandiko Ni mchafu. Sio PGA ni GPA nawasilisha.
Back
Top Bottom