Recent content by Pius Mwachuvaka

  1. P

    Mwalimu uliyemaliza Chuo Kikuu, diploma au ngazi ya cheti unayesubiri ajira

    Hakuna ajira kwa sector ya elimi kwa mwaka huu soma sera ya SEDEP phase II.
  2. P

    Lazima Lowassa ashitakiwe kwa Ufisadi!!

    Ufisadi gani alioufanya lowassa, Hivi inawezekana mtoto ndani ya nyumba akafanya jambo bila baba yake kujua kweli. Aanze kustakiwa baba kwanza, halafu mtoto atafuata kutoa ushahidi.
  3. P

    JamboLeo: Watanzania wakosa imani na 'Rais'

    Hili gazeti sina uhakika kama halitafungiwa, Utasikia ni uchochezi.
  4. P

    Mapokezi ya Mbunge wa Iringa

    sangwine Tupo pamoja Iringa yetu site.
  5. P

    Filikunjombe apata mpinzani Ludewa, CCM matumbo joto

    Atusamehe tu filikunjombe mwaka huu tumedhamiria kwenda ikulu na tunaanzia udiwani,ubunge,na hatimaye urais tutapiga kote kwa Lugola, lembeli hatuangalii huruma yao tumedhamilia kwenda ikulu.
  6. P

    Mbowe: Nitagombea tena Ubunge Hai.

    Mafisadi mwaka huu wana kazi nguvu ya mbowe in kubwa sana hawawezi kuizuia kwa mahakama
  7. P

    URAIS TANZANIA 2015: Mwanangu anategemea kutanganza nia hivi karibuni

    Hawa ccm ndio wanaofanya urais uonekane kitu cha mchezo na rahisi sana wengine afya zao zina mashaka sana et wanataka urais na safari ya matamanio.
  8. P

    Tafadhali pokea ratiba ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura

    Masahihisho Iringa kuanzia tarehe 29/04 hadi tarehe 30/05
  9. P

    Mashine za BVR zamkataa Anna Tibaijuka

    Ha ha ha haa haa mikono imekomaa kwa kuiba mali za umma na kubeba hela kwenye magunia.
  10. P

    Dr. Slaa kutinga Karagwe kupongeza wagombea na wananchi waliyoigaragaza CCM Mahakamani

    Achana naye huyo ni lumumba buku 7, wenzake wapo dodoma wanasubiri huruma ya ccm ili waendelee kula.
  11. P

    Huu ni mwaka muhimu kwa mabadiliko ya ndani, Tuichague CCM

    Umevurugwa wewe mpaka leo unaifikiria ccm iendelee kuongoza nchi, hakuna kiongozi msafi ccm.
  12. P

    UKAWA wakimsimamisha Dk. Slaa itakuwa landslide victory kwa CCM

    Kama mnaona ni rahisi kwenu maccm, kwa nini mlitaka mmpe sumu? mtaweweseka sana mwaka huu, na kwa taarifa yako ccm wanamuogopa sana slaa kuliko mtu mwingine yeyote yule, jiandaeni kisaikolojia.
  13. P

    Ukawa: Chama kipi kina nguvu jimboni kwako?

    Iringa mjini-CHADEMA
  14. P

    Jaji Lubuva, watu wa Kilwa hatujalipwa posho ya Semina hadi sasa

    Kwani wakati unaomba hukujua kama Serikali haina pesa kwa sasa, vumilieni tu mtapata pesa zenu, ila safari za rais na viongoz zitaendelea kama kawaida.
Back
Top Bottom