Recent content by PistolGang

  1. PistolGang

    JamiiForums Tanzania Msaada dawa ya maumivu ya kisigino na kidole cha mwisho cha mguu

    Shukrani mkuu. Ngoja niende hospital sasa
  2. PistolGang

    JamiiForums Tanzania Msaada dawa ya maumivu ya kisigino na kidole cha mwisho cha mguu

    Nawasubiri wajuzi
  3. PistolGang

    JamiiForums Tanzania Msaada dawa ya maumivu ya kisigino na kidole cha mwisho cha mguu

    Habari za wakati huu wadau? Jamani naombeni msaada nimekuwa nikisumbuliwa na miguu sehemu za visigino hasahasa mguu wa kulia. [emoji117]Inapofika asubuhi nikiamka siwezi kutembea nachechemea kwa dakika kadhaa ndio nakuwa angalau. [emoji117]Nikikaa kwenye kiti hasa kiti kirefu ambacho...
  4. PistolGang

    JamiiForums Tanzania Zijue namba za Magari na maana zake

    Hizi zenye namba ya ACU zinamaana gani
  5. PistolGang

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kutangaza ndoa, mchumba wangu kaniweka wazi ni single mother, upendo umeyeya nafikiri kumuacha

    Sio kweli mwamba, kuna nyapu zingine unaweza piga utadhani bikra katolewa juzi kumbe anawatoto wawili. Kwahiyo hilo huwa swala la maumbile tu
  6. PistolGang

    JamiiForums Tanzania Bima ya gari imekuwa anasa!

    Na sasa hivi kuna bima feki mzee wangu. Unakuta sticker number moja ipo kwenye sticker zaidi ya tatu halafu kwenye system inasoma mtu mmoja. Utapeli huu upo hasa kwa hawa mawakala wa bima
  7. PistolGang

    JamiiForums Tanzania Wasafi Media na anguko la East Africa Radio

    Sam Missago nae kaendaga wap Sent using Jamii Forums mobile app
  8. PistolGang

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Laana inayoniua (Kisa cha kweli 10/12/1989)

    Da!, pole sana mzee wangu
  9. PistolGang

    JamiiForums Tanzania Natafuta ENGINE ya Toyota Cami au Terios Kid 1.3cc

    Engine HC inahitajika jamani
  10. PistolGang

    JamiiForums Tanzania Natafuta ENGINE ya Toyota Cami au Terios Kid 1.3cc

    Still
  11. PistolGang

    JamiiForums Tanzania Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Inahitajika, nichek 0623256767
  12. PistolGang

    JamiiForums Tanzania Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Engine ya toyota cami 1.3cc 16Valve, gari ya mwaka 1999. Isiwe ile vvti mfano uo
  13. PistolGang

    JamiiForums Tanzania Natafuta ENGINE ya Toyota Cami au Terios Kid 1.3cc

    Njooni
  14. PistolGang

    JamiiForums Tanzania Natafuta ENGINE ya Toyota Cami au Terios Kid 1.3cc

    Habari zenu ndugu? Husika na heading hapo juu. Natafuta engine ya gari aina ya Toyota Cami ya mwaka 1999/2000 inafanana pia na Daihatsu Terios Kid 1.3cc. Zingatia mwaka wa gari, na engine ni ile yenye 16Valve Daihatsu. Kama unayo, napatikana whatsapp 0623256767 Nitumie picha nambie na bei...
  15. PistolGang

    JamiiForums Tanzania Mwenye uwelewa wa BE FORWARD pitia hapa unipe elimu/ufahamu.

    Shukrani saana
Back
Top Bottom