Habari wakuu.
Naomba msaada kutoka kwa mtu yeyote ambaye ni mwenyeji wa Mtwara, anayeweza kunisaidia kupata eneo zuri kwaajili ya biashara ya bucha, saloon, glocery pamoja na video library.
Nimehamishiwa huku kikazi hivyo nalazimika kuhamishia huku biashara zangu ndogo ndogo nilizokua...
Alianza Young dee,akaja young killer, akafata young Lunya na leo umeongezeka "Young graduate". Nakutakia Kila la kheri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inakera Sana unakuta mtu anakuja na uzi the wa kuuliza feedback juu ya nafasi fulani ambazo zilitangazwa siku za nyuma na yeye aliomba, wakati zilipotoka hakushare humu. Anaomba kimya kimya (kichoyo) alafu tetesi anataka apate humu kwa watu ambao aliwaficha zilipotangazwa.
Sent using Jamii...
Ukifika usisahau kwenda sweet manka , digital,lyamba, kwa malandu, kapilipointi, kwa kisaye,migazini,mwisho wa bajaji na king Paris.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri juu ya kupanda miti inategemea na aina ya miti maana ipo hadi miti ya kimvuli tu. Pia kununua hisa inategemeana na trend ya ukuaji wa kampuni . So, mleta uzi njoo uweke bayana aina ya miti na kampuni unayoitarget.
Sent using Jamii Forums mobile app
Heshima yenu Wakuu.
Naomba Aliye na taarifa yoyote (rasmi au tetesi) kuhusu hatma ya zile nafasi za TANESCO zilizotangazwa mwezi uliopita, lakini hadi sasa hakuna chochote kinachoendelea katika tovuti ya utumishi kuhusiana na nafasi zile atujulishe.
Nawasilisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.