Recent content by Pink leopard

  1. Pink leopard

    Nimepata kazi serikalini, je niondoke vipi huku private?

    Pitia taratibu sahihi za kuresign kazi kiongozi.Pia tunaomba utuambie ulikuwa shule gani na masomo gani ili tuliokosa tutumbe maombi hapo.
  2. Pink leopard

    Nimebahatika kupata kazi katika ajira za ualimu 2021

    Tunaomba utuambie ulikuwa unafundisha masomo gani na shule ili tuliokosa tujaribu kutuma maombi.
  3. Pink leopard

    Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

    Hapawezi fanya kazi mpk uupload barua ya maombi mkuu
  4. Pink leopard

    Msaada: Natafuta shule nzuri ya Sekondari Dar es salaam

    St Anne ni bording tu,ila Brilliant ina bording na day.,I guess
  5. Pink leopard

    TAMISEMI mna tatizo gani?

    GS na CIVICS Kuna watu wanaisomea kabisa Kama somo la kufundishia,wanaita POLITICAL SCIENCE (PS) si kila mtu aliyesoma GS Advance anaruhusiwa akaifundishe
  6. Pink leopard

    Msaada: Natafuta shule nzuri ya Sekondari Dar es salaam

    Au Carmelite secondary ipo mbezi malamba mawili
  7. Pink leopard

    Msaada: Natafuta shule nzuri ya Sekondari Dar es salaam

    Brilliant secondary ipo kwa msuguri
  8. Pink leopard

    Ombi la kazi ya ualimu

    👍👍
  9. Pink leopard

    Ombi la kazi ya ualimu

    Ipo bagamoyo,unatuma CV na copies za certificates.,Kama upo mbali unaweza tumia email headmaster@baobab.ac.tz or headteacher@baobab.ac.tz Deadline 27 December
  10. Pink leopard

    Ombi la kazi ya ualimu

    Peleka CV baobab wanahitaji mwalimu wa GS/CIVICS.
Back
Top Bottom