Recent content by pink-apple

  1. P

    JamiiForums Tanzania Jamani huu si ni wizi, wamentumia jioni hii!

    wezi hao.
  2. P

    JamiiForums Tanzania mwalimu wa kubadilishana kituo cha kazi

    Habari zenu wakuu, naomba mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi mimi niko kilwa nataka kwenda mbeya namba zangu za simu ni +255 687 121 566 Asanteni.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kazini SIDO

    Wameshaita angalia kwenye website yao
  4. P

    JamiiForums Tanzania Vyeti vimeokotwa vya PAULO N JAGADI

    Okay thnx i wil do that...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Vyeti vimeokotwa vya PAULO N JAGADI

    NAMTAFUTA huyu mtu au kwa yoyota anayemfahamu awasiliane na mimi kwa namba hii...NO 0687121566 Ili nimpe vyeti vyake...Asante
  6. P

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Naomba kuuliza kuhusu viwango mishahara ya Sido mfano position za business development officers ii na credit officers ii :disapointed::disapointed:
  7. P

    JamiiForums Tanzania Nafasi za postal controllers TPC

    Naomba kuuliza jamani zile nafasi za postal controllers za mwaka jana mwishoni ziliishia wapi?maana baada ya written ikawa kimya,au washaita oral?mwenye kujua anijuze please.....ASANTE
  8. P

    JamiiForums Tanzania NSSF wameita for interview

    Seriously! Ndo tumefika huku. Tuko hapa kukemea udini sio kuchochea jamani. #just sayin
  9. P

    JamiiForums Tanzania NSSF wameita for interview

    Pole,Jaribu kuangalia kwenye spam
  10. P

    JamiiForums Tanzania NSSF wameita for interview

    Dah jamani
  11. P

    JamiiForums Tanzania NSSF wameita for interview

    Asante.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Diamond Jubilee Hall ipo sehemu gani kwa Dar es Salaam nimeitwa Interview

    Ipo upanga..ulizia utapapata tu. Watu mnajibu vitu vya ajabu,kwani kosa lake nini. Lol
  13. P

    JamiiForums Tanzania TRA Nafasi za July

    Dunia hii ya utandawazi??..be serious
  14. P

    JamiiForums Tanzania PSRS: Vipi kuhusu SSRA majibu ya usaili

    Nahisi anamaanisha kama wameita kazini
  15. P

    JamiiForums Tanzania PSRS: Vipi kuhusu SSRA majibu ya usaili

    Hata mimi nataka kujua. Wenye taarifa watusaidie please
Back
Top Bottom