Recent content by pilot Joseph

  1. P

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Nauza Vitunguu maji 70,000/- kwa gunia. Napatikana Morogoro Mjini, nicheki kwa namba hizi 0625755889
  2. P

    FURSA KWA WALIOKOSA MKOPO

    Nahitaji first year kama 10-20 waliokosa mkopo. Vigezo uwe umepata division 1 or 2 at advanced level. Vyeti vyako viwe certified , uwe na admission letter. N.B sitaki rushwa wala hongo yoyote. Kuna foundation mbili zinatoa ufadhili wa masomo. Only serious minded people. Check me at these...
  3. P

    CPA

    Check PM
  4. P

    CPA

    Centres zipi kwa Moro au Dar wanatoa review classes?
  5. P

    CPA

    Vyuo gani wanatoa CPA?
  6. P

    CPA

    Asante
  7. P

    CPA

    Vipi ajira zake ni rahisi kupata au ngumu kufanikisha?
  8. P

    CPA

    Kwahiyo ni bachelor
  9. P

    CPA

    Naomba kufahamu CPA(Certified Public Accountant) ni level gani ya elimu? Baada ya kuhitimu unahesabika una Master's au Bachelor?
  10. P

    Maombi ya ufadhili wa masomo

    Kwanini usome diploma wakati vigezo vya bachelor degree unavyo
  11. P

    CPA DURATION

    Habari jf members? Samahani naomba kufahamu inachukua muda gani mpaka kumaliza CPA kuanzia ATEC, foundation, intermediate hadi CPA nikitumia cheti cha form 4 au 6 bila kupitia diploma wala degree...
  12. P

    Kwa matokeo haya naweza kupata diploma ya clinical medicine?

    MD itashindikana kwa sababu advanced level nilisoma PCM halafu bachelor nilimaliza agricultural engineering
Back
Top Bottom