Recent content by Pilocarpine

  1. P

    JamiiForums Tanzania Nimeingia cha kike kwa mtoto wa Diwani

    ..
  2. P

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kuchukua mikopo tukafanya ndivyo sivyo

    Mimi sio mkopo wa benki,ila ni hela ya heslb.niliingia kwenye network marketing bila ya kuifahamu vizuri,boom lote nililipeleka huko,nikahamia tena kwenye betting pesa zikaishia huko Saivi najutia sana,kwani naishi kama jini vile,siku mbili kupita bila kula ni ishu ya kawaida tu. Pesa...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Ama kweli majuto ni mjukuu..

    Ni kweli kwa unayoyasema
  4. P

    JamiiForums Tanzania Ama kweli majuto ni mjukuu..

    Kweli nidhamu ndo kila kitu,nimeamini hilo kwenye changamoto nilizonazo. Swala la kula ni mimi tu na moyo wangu tunalijua
  5. P

    JamiiForums Tanzania Ama kweli majuto ni mjukuu..

    pamoja mkuu,kupambana ni lazima kuendelee
  6. P

    JamiiForums Tanzania Ama kweli majuto ni mjukuu..

    Hata kama ni ndogo bado naamini lazima uwe na discipline nayo
  7. P

    JamiiForums Tanzania Ama kweli majuto ni mjukuu..

    Bila nidhamu ya pesa kwenye haya maisha,lazima kuna siku lazima utakuja kujutia. Hiyo ndo hali niliyonayo saivi Vijana wenzangu hasa ambao bado hatujawa na source ya kudumu ya kupata kipato,tuheshimu sana hela. Nakosa hata hela ya kula kweli!,majuto kweli ni mjukuu.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta anaekopesha wanafunzi wa chuo au mtu yoyote kwa kuweka cheti kama security

    Nilikuwa na shida kama hii,ila sikufanikiwa.Tuendelee kusubiria wadau waje
  9. P

    JamiiForums Tanzania Naomba msamaria mwema aweze kunisaidia

    Bado sijapata,naomba kwa aliyetayari anisaidie
  10. P

    JamiiForums Tanzania Naomba msamaria mwema aweze kunisaidia

    Poleni na majukumu wakubwa. Ngoja niende straight foward kwenye lengo la kufungua huu uzi. Naomba kwa yeyote mwenye uwezo wa kuweza kunikopesha 350K,anisaidie,nitaacha cheti changu original cha form IV,kwa sababu sina dhamana ya kubwa zaidi ya hii,na nitailipa hii fedha kuanzia mwezi wa nne...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Tambua siri ya kupatwa na ugonjwa wa kisukari

    Biochemisty +physiology..Elimu nzuri mkuu
Back
Top Bottom