Recent content by Pig unit

  1. P

    JamiiForums Tanzania Wale wa home made products, njooni hapa

    Ooh
  2. P

    JamiiForums Tanzania Ni suala la aibu kwa kampuni kubwa kama samsung, flagship device kuwa na technical weekness

    Kuna raia zinatumia simu kipiga na kupokea tu hazijui matumiz mengine ya simu ndio maana anaonana zinafanana
  3. P

    JamiiForums Tanzania Ni suala la aibu kwa kampuni kubwa kama samsung, flagship device kuwa na technical weekness

    Sii kwel, kuna mawili, it's either ulipigwa au ulikua hujui unachofanya
  4. P

    JamiiForums Tanzania Nauza mbegu za mbogamboga OPV

    Mwendokasi bado unayo? Unauzaje?
  5. P

    JamiiForums Tanzania Eneo la kufugia samaki kwa njia ya vizimba (cage culture) linakodishwa

    Zaid ya 40% ya Tanzania ni vivutio, huvimaliz hata miaka buku
  6. P

    JamiiForums Tanzania Eneo la kufugia samaki kwa njia ya vizimba (cage culture) linakodishwa

    Kufuga samaki sio kujituma?
  7. P

    JamiiForums Tanzania Ni suala la aibu kwa kampuni kubwa kama samsung, flagship device kuwa na technical weekness

    Hapa navyoandika yangu pia inao mmoja , ulitokeza tu wenyewe
  8. P

    JamiiForums Tanzania Ni suala la aibu kwa kampuni kubwa kama samsung, flagship device kuwa na technical weekness

    Nina s20 pia ina mstari ila sifikiri kuhama , najivuta hapa nidondoshe s23 nitulie nayo
  9. P

    JamiiForums Tanzania Ufugaji samaki kwa Vizimba (Cage Fish Farming)

    Gharama bado ni zile zile ?
  10. P

    JamiiForums Tanzania Ujumbe huu kwa kila asiekuwa Muislam; Soma kabla ya hujafa

    Kuna manabii ambao hawakufa , hilo tu linafanya kua story za uongo, hakuna kitu kama hicho, dunia itaisha kuna watu watakua hai
  11. P

    JamiiForums Tanzania Ujumbe huu kwa kila asiekuwa Muislam; Soma kabla ya hujafa

    Mungu anakuaje na dini??
  12. P

    JamiiForums Tanzania Ujumbe huu kwa kila asiekuwa Muislam; Soma kabla ya hujafa

    Ni uongo, Kuna mitume ambao wametwaaliwa bila kufa, hilo ni uongo
  13. P

    JamiiForums Tanzania Ujumbe huu kwa kila asiekuwa Muislam; Soma kabla ya hujafa

    Yesu ndio kristo, anaitwa Yesu Kristo au Jesus Christ, hawezi kua Mktristo, yeye ni kristo, mimi ninae amini katika yeye ndio nakua mkristo na sio yeye
  14. P

    JamiiForums Tanzania Ujumbe huu kwa kila asiekuwa Muislam; Soma kabla ya hujafa

    Kila nafsi itaonja umauti si kweli Wapo mitime ambao hawakufa lkn pia siku ya kiama nafsi nyingi tu mabilion zitakutwa dunian zikiwa hai
Back
Top Bottom