Recent content by Pierer

  1. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kila nikirudi nyumbani nakuta msichana wa kazi anaangalia 'porn'

    unaoneka ndio mchezo wako nakutembea na vibeki 3 Sent from my SM-G928G using JamiiForums mobile app
  2. P

    JamiiForums Tanzania Sheria ya ndoa haina sehemu iliyoandikwa panahitajika cheti cha kuzaliwa ili kufungwa

    Jaman endeleni kuoa na kuolewa kama kawaida
  3. P

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amsimamisha kazi Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu(Bunge) - Uledi Abbas Mussa

    Na ikitokea ndio wewe ume dead mkuu?
  4. P

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Christina Lissu afariki Dunia jijini Dar

    Jaman huyu si alishakufa, mbona mnamua tena?
  5. P

    JamiiForums Tanzania Wakufunzi wa UDOM wafukuzwa kwenye nyumba kuwapisha mawaziri waliohamia Dodoma

    Basi kama ni hivyo kwanini wasichanganyikane na Wanafunzi huko Hostel coz kuna hostel zingine hazina wafunzi, wangewahifadhi huko kwa muda wakati wanajipanga
  6. P

    JamiiForums Tanzania Wakufunzi wa UDOM wafukuzwa kwenye nyumba kuwapisha mawaziri waliohamia Dodoma

    Acha tu wahamie watajipanga huko huko mkuu ngoja Dar nasisi tupumue na mifoleni
  7. P

    JamiiForums Tanzania Wakufunzi wa UDOM wafukuzwa kwenye nyumba kuwapisha mawaziri waliohamia Dodoma

    Hio ni sawa na nguo ya kuazima haisitiri matako
  8. P

    JamiiForums Tanzania Huu ndio msimamo wa Rais Magufuli juu ya vyeti feki

    Duuh hamna mtu muongo kama Gwajma, Hivi NECTA siku hizi wanatoa cheti kwa mtu aliyepata Zero.?
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kuhamia Dodoma: JWTZ nao wafungasha virago toka Dar!

    Usihangaike naye huyo kasoma shule ya Kata
  10. P

    JamiiForums Tanzania Kuhamia Dodoma: JWTZ nao wafungasha virago toka Dar!

    Afadhali foleni ipungue mji huu khaa
  11. P

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma tumemkosea nini Rais Magufuli?

    Nanyie mmezidi, Wakati mnakopeshwa mlikuwaga mnambwebwe sana, yaani kidogo mmeshaandamana na nyimbo zenu za kukariri, Sasa kulipa ndio mnaonashida, hebu lipeni huko wadogo zetu wapate mikopo.Acheni kulalamika ovyo.
  12. P

    JamiiForums Tanzania CWT, Serikali,Body ya Mikopo, Wizara Ya Elimu Sikieni Kilio Cha Walimu.

    Balaa ni wale wanaodaiwa milion 12 hadi 20 huwa nawaonea huruma sana yaani wanaweza wakalipa deni hadi anastaafu
  13. P

    JamiiForums Tanzania Upatikanaji wanawake bikra Tanzania

    Huo ni utafiti au maoni yako mkuu?
  14. P

    JamiiForums Tanzania Lipi jiji zuri kati ya Mbeya na Tanga?

    Kama Mnazungumzia mji uliopangwa na Kupangika Basi hakuna mji Tanzania hii unaweza kuufikia Dodoma.
Back
Top Bottom