Nissan kwa root ndefu ipo vizuri kozi ina mfumo mzuri wa upozaji mashine pia nissan vifaa vyake ni durable,nakumbuka nikiwa advance nimesafiri na TAQWA nissan 2001 na mpaka leo hakuna scania yeyote ambayo inaweza rut ya dar congo! Scania ya mwisho mm kuiona ilikuwa ADIDAS
Katika race ya jets especially combats kwa uwezo wa kujificha kunaswa na rada,kasi ,manuvability,vertical landing and takeoff, f35 ndio namba moja ikifuatiwa na sukhoi t 50 ya kichina na mig 35 ya russia ndo ya tatu,hivo kwa rekod hizi ni wazi US wako mbali zaidi ya china na russia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.