Recent content by piechdii

  1. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake aliyewaroga bado mzima mkipata nafuu anakazia

    Ni kweli. Ila huwa ni burudani sana ya roho pale unapojua kuwa kuna mtu anakuchukia na anajua wewe unajua halafu unaonesha upendo kwake. Nakuhakikishia baada ya muda fulani: 1. Atashangaa 2. Atakukubali 3. Atakuheshimu na 4. mwisho lililo bora mtakuwa marafiki.
  2. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake aliyewaroga bado mzima mkipata nafuu anakazia

    Sawa. Ila ulionesha kuwa amekukera.Ukaendelea kuelezea hulka yake, na sasa bado unaielezea.Ulifanya vizuri kusaidia wahitaji wakati ukiwa tajiri.Ulifanya kitu kingine mbali na hili unalofanya sasa. Ulitenda wema. Sasa unaua. Umeambiwa usiue. Wewe unaua.Unaua nafsi. Unamtangaza vibaya huyu mama...
  3. P

    JamiiForums Tanzania RC Mnyeti ametua Arusha mjini yupo hotel ya Gold Crest anaratibu utaratibu wa uchaguzi kupanga safu

    'Katika karne ya 21 mnapanda basi la makabila?' ... in Mwl.'s voice.
  4. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake aliyewaroga bado mzima mkipata nafuu anakazia

    Unasema hujawahi kumdharau mtu kwa sababu hana.Kisha unasema huyo jamaa amekabidhiwa tu nyumba asimamie.Hauoni hiyo hali ya kukabidhiwa maana yake hana? Hivyo umemdharau kwa sababu hana. Naona umeanza kuwadharau watu baada ya kuwa masikini.
  5. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake aliyewaroga bado mzima mkipata nafuu anakazia

    Ni kutokumsalimia. Ajibu asijibu wewe mpe salamu.Timiza wajibu wako.Yeye akitenda ovu nawe unamlipa ovu? Kuna dada mmoja mtaani kwetu mwanzoni nilikuwa kila nikimsalimia alikuwa hajibu.Mimi niliendelea kumsalimu.Nikimkuta namsalimu yeye, kisha nikikuta watu wengine nyumba inayofuata ninawasalimu...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Watu tunapenda sifa lakini hii sifa sio ya kwangu

    Nadhani ulikusudia isiwe 'ulikusudiwa'
  7. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba hutumia chini ya dakika moja pamoja na nguvu alizonazo

    Ni pomboo.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Natamani sana kuongea kingereza

    Duh!
  9. P

    JamiiForums Tanzania Natamani sana kuongea kingereza

    Muda wa mwezi mmoja ninaona ni mfupi.Pia ni muhimu kuwa chini ya mwalimu maalumu.Kuna baadhi ya matamshi ya maneno yanafanana lakini maneno yanaandikwa tofauti na matamshi (mchangiaji mmoja ameeleza hapo juu). Napendekeza:1. asome kwa miezi mitatu, 2. Aende British Council kwa mafunzo hayo.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Natamani sana kuongea kingereza

    Mimi nipo Dar.
  11. P

    JamiiForums Tanzania Natamani sana kuongea kingereza

    Kinaitwa kiingereza.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Prof. Ndalichako amtumbua loan officer wa chuo kikuu cha ardhi na kutishia kumfuta kazi mkuu wa chuo hicho

    Na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam utasemaje? nacho kimespecialize kwenye masuala ya ...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Dkt. Willibrod Peter Slaa kuwa Balozi

    Naukubali uwezo wako wa kufikiri.
  14. P

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Watu wanamnunia Shonza

    Sijui ila mimi nikiwa home huwa naangalia.Saa tatu kamili asubuhi.Leo nilimsikia Premier akijibu yale maswali ya papo kwa papo.Siyapendi maswali haya!
Back
Top Bottom