Kumekuwa na vilio na matukio mengi ya watu kuibiwa au kupoteza simu/vifaa vingine kama hivyo. Wananchi wengi wamekuwa wanaona kama wakipoteza vifaa vyao uwezekano wa kuvipata tena ni mdogo sana isipokuwa kwa bahati tu.
Maswali yangu katika mjadala huu ni haya:
(i) Je, mamlaka husika za usalama...
Pole sana binti sayuni
Hata iyo kukosa jibu ni jibu pia.
Fanya hivi, hicho unachokifikiria kwa sas fanya hicho hicho. pia me nae niko hapa kuna mumama wangu tumezinguana kama vp njoo tufanye maisha me sina hata mtoto mmoja.
Ukiwa na imani thabiti kwa Mungu unauwezo wa kufanya jambo lolote lile.
ukisoma maandiko matakatifi katika Biblia Mathayo 21:21-22 "Yesu akajibu, akawaambia, Amin, nawaambia Mkiwa na imani, msipokuwa na shaka, mtafanya si hilo la mtini tu, lakini hata mkiuambia mlima huu, Ng’oka, ukatupwe...
Naweza nikathibitisha uwepo wake kwa kuwepo kwetu sisi ni udhihirisho thabiti wa uwepo wake, kuwepo kwetu sisi tu tunathibitisha uwepo wake maana sisi tusingalikuwa sisi bila yeye.
Yana hadi wew kuwepo duniani hadi sas agenda sio kwa akinanani wamekuleta tena wao walishamaliza part yao sas kaz ni kwako na Mungu wako hadi pale siku itapokuw ndy mwisho wa wew kuwepo tena katika uso wa dunia.
Swali litabaki je ulikuja kufanya nini? na hawataulizwa wazazi wako hili litakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.