Recent content by Phyzicer

  1. P

    Kwenu Waharakati wa Usawa

    Kuna Kitu Sijaelewa bado. Unakuta Mdada au Mmama au hata Baadhi ya Wanaume wakijenga Hoja kuwa Suala la Malezi ya Watoto na Kusimamia Nyumba ni jukumu la Sawa kwa sawa baina ya wanandoa(yaani Mwanamke na Mwanaume) Hivyo Ile dhana ya kwamba mwanamke abaki nyumbani alee watoto na atunze mji ni...
  2. P

    Naombeni msaada wa kisheria kwenye maeneo haya kuhusiana na ubakaji

    1)Mwanamke(Sio Mwanafunzi) wa Miaka 19 akibainika amepata Mimba kutoka kwa Mvulana Mwanafunzi wa Miaka 17. Jee Sheria itatafsiri kwamba Huyu Mwanafunzi mvulana amebakwa na Huyu Mwanamke wa Miaka 19? Nini Hukumu yake?? 2) Mwanafunzi Mvulana wa Miaka 16 akimpa Mimba Mwanafunzi Msichana...
  3. P

    Huyu shemeji yangu alijifanya ananikomoa

    Kutoboa na Mwanamke msomi mwenye kipato chake ni zaidi ya Muujiza.
  4. P

    Mwalimu wa nyumbani napatikana

    Ahsante sana kwa wazo Mkuu.
  5. P

    Mwalimu wa nyumbani napatikana

    Science subjects mkuu ikiwemo Physics, Chemistry, biology and Mathematics.
  6. P

    Mwalimu wa nyumbani napatikana

    Wakuu nawasalimu. Kama kichwa kinavyojieleza. Mimi kijana wa Kitanzania. Ualimu ndio Fani yangu(I'm very proud) hasa kwa wale wazazi au walezi wanaopenda watoto wao wafundishwe nyumbani kwao. Nipo available kwa Kazi hiyo kwa wakaazi wa Dar es salaam(Nipo Dar es salaam kwa sasa) Masomo ya...
Back
Top Bottom