Yaani serikali isifanye kosa la kuitenganisha kabisa nchi kwa dini. Ni kosa kubwa sana...alafu naona bado haw viongozi jawajitambui kabisaaa...kwenye katiba pendekezi ibara ya 41.. Uhuru wa imani na dini..!!??
Wadau isomeni kwanza...mimi pia nilikuwa na mtazamo huu huu ila nimeipitia kipengele kimoja hadi kingine...kuna baadhi sikubaliani navyo kwa mtazamo wangu ila tuisome kwanza ndio tuamue....
Aise Comp degree tena ndio rahisi zaidi. Kuna colleges nyingi sana hapa bongo ambazo zinakubali mtu kuingia kufanya Diploma..kuna baadhi zitakubali kufanya kwa mwaka nyingine kwa miaka miwili, na kuna ambazo pia zinauhusiano wa vyuo vikuu vya Nje kama UK, INDIA na USA.
Ambapo unaweza jiunga na...
Wadau salama. Nauliza ambao wanamiliki blackberry passport. Je, mnanunua vifurushi vya Internet kama simu nyingine au mnanunua Blackberry Internet Service??
Ok jamani..swali hapa...pendekezo lenu kwa bachelors kwa mwaka ada iwe shillingi ngapi? Maana nimejaribu kupiga hesabu ya 2.2Mil kwa mwaka for bachelor degree kwa chuo kinachopokea wanafunzi elfu moja...hii hela sioni ikitosheleza kabisaa.
ukitilia maanani masomo kama ya udaktari, engineering...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.