Recent content by Phlagiey

  1. Phlagiey

    Kilio cha haki..

  2. Phlagiey

    PostGE2025 Wizara ya Afya yazidi kuuthibitishia ulimwengu kuhusu Serikali ya Samia kuficha ukweli wa Mauaji ya kutisha yaliyofanywa kipindi cha Uchaguzi

    Uupuuzi!! Wasichojua ni kwamba kuna teknologia ya kutambua video ya kutengeneza na video halisi, hii ni video halisi, Kama waliweza kusema waliyoandamana ni vijana toka nchi jirani, kama waliweza kusema video na picha zinazosambaa mtandaoni ni za kutengeneza kwa AI, watashindwa nini kukana video...
  3. Phlagiey

    Huyu ndio mmiliki halisi wa Lake Oil

    Na bado
  4. Phlagiey

    PostGE2025 Jeshi la Polisi: Maandamano ni biashara na wachache ndiyo wanufaika

    Hivi ili nchi za ulaya zipate kitu kutoka Tanzania lazima zitumie pesa kuwalipa Diaspora? Mbona wananjia nyingi tu zakuweza kutunyonya na kupata wanachohitaji kutoka Africa, bajeti zitu kwa asilia kubwa bado tunategemea msaada toka kwao, Polisi na huyo kibaraka wenu wa Canada mnatumia kiungo...
  5. Phlagiey

    GE2025 Makonda: Nililishwa Sumu nikiwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, ilikuwa nife mwaka 2024

    Unamtajataja Mungu ili kulaghai watu na kujikosha kama vile ni mwema sana lakini siyo kweli hauna wema, historia inakuhumu, uliwahi kutumika kumpiga Mzee Waryoba hadharani alipotuletea katiba mpya ya Watanzania, umetuhumiwa katika matukio kadhaa ya kubambikizia watu makosa makubwa makubwa mfano...
  6. Phlagiey

    Tetesi: Lissu amepewa option ya ama kuachiwa Huru ila aondoke nchini kakataa

    Kama iko hivyo leo angelisema mahakamani jambo hilo, Lissu hana kawaida ya kuficha njama za uovu na maovu
  7. Phlagiey

    GE2025 Wajumbe wa CCM wanapita kila kaya kata ya Bonyokwa na kukusanya majina ya wenye vigezo vya kupiga kura

    Leo mjumbe mmoja wa ccm kapita katika makazi yangu kuomba kitambulisho akamkuta mke wangu nje akamuomba ampatie kitambulisho cha mpiga kura, huku akiahidi kumpatia pesa, nilikuwa ndani nikisikia hayo mazungumzo, hakufanikiwa kutokana na uwepo wangu niliweza kuzuia jambo hilo lisitokee....
  8. Phlagiey

    Usipuuze Ukwaju – Dawa Asilia Inayofuta Maradhi Kimya Kimya!

    Nimeona ukwaju mate yamenijaa mdomoni kwa ule uchachu wake mtamu..
  9. Phlagiey

    Kitu gani umeshindwa kuacha moja kwa moja

    Kucheza Casino ya Aviator
  10. Phlagiey

    Msaada: Wakati Gari inapigwa Starter Moto unakuwa unafika Lakini haiwaki!

    Kabla sijajibu kitu naomba kufahamu kama gari yako inatumia diesel au petrol? sababu kuna tofauti ya kufanya visual inspection kati ya gari ya petrol na diesel inapotokea tatizo la starting kama hili..
  11. Phlagiey

    Msaada: Wakati Gari inapigwa Starter Moto unakuwa unafika Lakini haiwaki!

    Mkuu umeandika kitalaamu au umeandika kwa uzoefu wa mtaa? Kwanza kabisa plug haiwezi kushika kutu kutoka na mazingira yake ya utendaji bali inaweza kushika kitu kama masizi yanayotokana na mlipuko katika combustion chamber Lakini pia plug haiwezi kuwa sababu ya starter motor kushindwa...
Back
Top Bottom