Recent content by Phinias Oyugis

  1. Phinias Oyugis

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Umri unaenda sina ninachomiliki

    Pole brother,unapotaka Kumove jaribu kuangalia unanini mkononi, mfano wewe hapo tayari ni msomi umeelimika upo tofauti na wengine wengi anza na ulicho nacho mkononi /jirani kione ni fursa jitume fursa namba 1 inakuelekeza zingine nyingi.
  2. Phinias Oyugis

    JamiiForums Tanzania Askofu Zakaria Kakobe: Tanzania siyo nchi ya chama kimoja! Amtaka Rais Magufuli atubu

    Makanisa yameishiwa mafundisho,ccm oyeeee badala ya bwana Yesu asifiweeeee! Jamani! Nadhani waumini walipiga vigelegele. Baada ya askofu kuwapa ubuyu.
  3. Phinias Oyugis

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Jimbo la Siha, Godwin Aloyce Mollel(CHADEMA) ajivua wadhifa huo na kuhamia CCM

    Sasa wote wahamie ccm 2020 ccm itashindana na nani?
  4. Phinias Oyugis

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua aliegundua saa(muda), siku, mwezi na mwaka

    Aliye buni saa ? Haina haja sana inakaaje kwenye uhakika wa kuwa muda uliopo ni sahihi
  5. Phinias Oyugis

    JamiiForums Tanzania NEW BORN(New bby girl)

    Sergio muiteko wako kama itapendeza.
  6. Phinias Oyugis

    JamiiForums Tanzania NEW BORN(New bby girl)

    Leo imekuwa new day kwa mtoto ambaye hajapewa jina ni msichana kazariwa leo,naomba munisaidie apate jina,From Oyugi Auwory republic.
  7. Phinias Oyugis

    JamiiForums Tanzania Maamuzi

    Leo kilichotokea ni matokea ya kesho kwani,mwanasiasa anatoka upande wa upinzani anaenda chama tawala anajua tu atapokelewa upande wa pili,hii inafaida chache. Lakini kama hivi vyama vingeweka limitation flani flani wanao hama wangefanya maamuzi mengine .
Back
Top Bottom