Recent content by Phinenicke

  1. P

    JamiiForums Tanzania Nahitaji speaker

    Habari wakuu!! Mwenye speaker au anayejua machimbo kwa bei nzuri za saizi ya kati kwa ajili ya kanisani naomba msaada, used au mpya zozote.
  2. P

    JamiiForums Tanzania UTAPELI: Kampuni ya D9 (DNINE) ni kina nani? Nani kawapa kibali cha kazi Tanzania?

    Ukitaka kuwekeza D9 bila kuwa na stress za kutafuta member nakushauri ujiunge level 4,. Ambyo ni 4.7M. Level za chini lazima uwe fighter kuingiza watu ili upate faida kubwa
  3. P

    JamiiForums Tanzania UTAPELI: Kampuni ya D9 (DNINE) ni kina nani? Nani kawapa kibali cha kazi Tanzania?

    Hizo zingine zote ni bure kwa D9, jaman D9 inalipa
  4. P

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Vyuma chakavu na makopo ya plastic!

    Habari za leo wanajamvi. Nina malengo ya kuanzisha biashara ya kununua chuma chakavu na makopo ya plastic. Naomba mwenye uelewa wa hii biashara anisaidie mawazo yake na mchanganuo wa hii biashara. Nipo mbezi Luis Dar
  5. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanda!

    Habari wana jukwaa! Natafuta nyumba ya kupanga iwe na sebule, jiko, vyumba atleast kuanzia viwili kimoja kiwe master, na public toilet. Iwe maeneo ya ubungo, kimara au mbezi. Isizidi laki mbili. Budget yangu ni 150000. Namba 0712738973
  6. P

    JamiiForums Tanzania Nauza maziwa fresh na mtindi

    Wateja karibuni sana. Maziwa ambayo hayajachakachuliwa hata. Unaweza sema bei ipo juu ila yana ubora. Hakika ukijaribu hutaacha kamwe.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Nauza maziwa fresh na mtindi

    Habari zenu! Nina supply maziwa fresh na mtindi. Unaletewa mpaka nyumbani ukiwa Dar kuanzia lita tano. Na ukiwa mwenge hata Chini ya lita tano Unaletewa. Maziwa fresh lita moja 2000/= na lita tano 10000/=. Mtindi lita moja elfu 2500/= lita tano elfu 12000/=. Kwa mawasiliano zaidi piga...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Basi lauwa abiria wote 68 Vikindu likielekea Mtwara

    Duuh mungu atusaidie sana nyakati hizi za mwisho wa mwaka.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Faida za M pawa

    Habari wana Jf. naomba kujua faida zinazopatika na kujiunga na M pawa? pamoja na a/c za mitandao mingine pia kama tigo na Voda,mnaojua naomba mtuelimishe kwenye hili.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Vietell Tanzania LTD (kampuni mpya ya simu) inatangaza ajira 2000 tanzania katika ngazi mbali mbali

    wengine huwa wanaitwa kwenye usahili tena zote mbili, ila sasa kuitwa kuanza kazi ndio shughuli. sasa sijui wanawaita lini kuanza kazi? eti jamani wanaojua tunaomba majibu.
  11. P

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi

    mkuu tunaomba utusaidie email yako ili tukutumie kwa email kama inawezekana.
  12. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu laptop yangu

    Ahsante, ila hypothesis ya kwanza nimejaribu mara nyingi nimekuta setting za sauti zipo sawa. may be hiyo ya pili
  13. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu laptop yangu

    Habari wana jf. naomba mnisaidie nina laptop yangu nikiweka wimbo au movie haitoi sauti kabisa, ila nikiweka earphone sauti inasikika. nifanyeje ili sauti itoke? na ilikuwa inatoa sauti tatizo limeanza muda c mrefu. Ahsanteni
  14. P

    JamiiForums Tanzania Nasikia kumetokea tukio la ajabu pale Magomeni la mchawi kuanguka kutoka angani

    umeona eehe Pdidy,, Wapigweee haoooo.
  15. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MSAADA: SPARE KEY YA BMW 3 SERIES YA 2002,318i HAPA TANZANIA

    wasalina na mm nafanyia noble motors tuongee vzr. namba 0753723622
Back
Top Bottom