Jamii Bora
Nchi imara
Taifa imara
Uongozi imara
Msingi wake vyote hivyo ni NDOA. Sasa hao wanaopiga kampeni za kukataa ndoa wanataka tujenge jamii ya namna gani 20y-100yrs baadae.
Mwanaume anapimwa kwa kiwango chake cha kutatua matatizo. Sasa mdangaji mmoja kaharibu halafu mnakuja kuleta...
Mleta maada labda ungeelezea mifano ya hao wateja wakorofi ambao wanasababisha mpaka watu wengine innocent tuadhibiwe kwa kupewa customer care mbovu. Nchi hii nahisi suala la customer care liingizwe kwenye mitaala ya elimu.
Nawapongeza angalau wale mabinti/wavulana wa mitandaoni ambao hata...
Mwaka 2012 wakati yule mtoto Mbagala kafanyaje sijui Qur'an,watu wakachoma makanisa rafiki yangu mmoja ktk kupiga piga stori ambaye tulitegemea awe think tank,ni master's degree holder akajiapiza "Wallah Yule mtoto hata Mimi ningemkamata nachinja".. Dini Dini Dini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.