Yes mapinduzi makubwa yanakuja...
Just imagine... Wakazi kadhaa wa Kawe wanakwende Jimbo la Birmingham, Marekani (sijui ya wapi but na mimi natamani niende) na wa huko wanakuja Kawe.
Wana Kawe wapewe nn?!
Hupelekwa serikali kuu ambapo hutawanywa na kupelekwa sehemu ambazo huenda zikawa less productive na kufanya viongozi/watu wa maeneo hayo kuwa wavivu zaidi.
Majimbo hayo hata yakibuni vyanzo vya mapato, sehemu kubwa inaenda serikali kuu.
Majimbo yawe na nguvu ya kukusanya mapato na kuendeleza jimbo husika. Sehemu fulani ya mapato hayo ndio iende serikali kuu.
Mfumo wa majimbo utaleta ushindani kati ya jimbo na jimbo.
Kama serikali ya jimbo fulani itazembea kwenye kuibua vyanzo vya mapato, basi watakuwa nyuma kimaendeleo.
Na pia itapunguza mzigo kwa serikali kuu. Yenyewe itaangalia mambo makubwa haswa ya mambo ya ulinzi na ushirikiano wa kimataifa...
Wanaounga mkono juhudi za Mh. Rais ni wale walioamua kufanya kazi (hasa za uzalishaji) kwa bidii, weledi na uaminifu kwa ajili ya maendeleo ya taifa. Watia nia wote ni watafuta umaarufu na wachumia tumbo tu.
Mkishamaliza kujifariji hapa...
Kumbukeni kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka au tumia vitakasa mikono kama maji na sabuni hayapatikani.
Jitahidi kuvaa barakoa uwapo nje au kama upo nyumbani na unajihisi una maambukizi vaa muda wote.
Zingatia umbali kati ya mtu na mtu. Isiwe chini ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.