hahahahahahaaa! nicheke mm, kwan ulidhan nakuquote ili unijbu? pole sana tatzo n hyo id yako wew n mtu wa vitu fek ndo maana unaamin katka feki, halafu inaonekana hata tohara hujakwenda? shame on you... na ufaham wako wa kichina
Pamoja na yote aliyofanya JK yanayoonekana ni mazuri n kwasbbu aliachiwa fedha za kutosha, lakn chaajabu ajaye ataachiwa nchi ikiwa kwenye ukata wa kutosha, hasa ukizngatia mwaka huu una matumizi makubwa ya ziada ya fedha ilihali hata baadhi ya vyanzo vya mapato havitakuwa na nguvu kwa...
ukwel n kwamba ktk kufikia soln ya hitaj lolote pana changamoto zake, hata kwenye hili pana changamoto nyng bt kwakuwa najua kukosea kwangu kunaweza nigharimu pakubwa that's why umanik na mazingatio ya vigezo yanamata pakubwa. mliotendwa mcje na historia zenu, mikakat na mipango yenu haifanan na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.