Ratio ya wabunge iwiyane na population, kwa mfano zanzibar kuna wabunge zaidi ya 50 kwenye watu million 1, wakati hata wakiwa 2 basi ni wengi.
Na kama kutakuwa na wabunge 50 kila watu 1 basi kwenye watu million 60 inatakiwa tuwe na wabunge 3000,
Makamo wa Rais wa Tanganyika hana jukumu lolote labda a subiri offer ya akate utepe, wakati Rais wa Zanzibar ni Rais wa nchi inayotambuliwa na kwa mujibu wa katiba ya zanzibar na ni waziri wa Serikali ya Tanganyika vlvl. 2in1
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.