Kwa kweli haya matokeo yanatisha sana, ila nashangaa kuona hata wadau wa elimu wamekaa kimya, waziri wa elimu ana haki ya kujiuzuru!!!!! upuuuuzii mtupu !!!!!!!!!
Ngoja wendelee kuchuana, kwa nchi yoyote bila upinzani wtawala watjisahau na kuzubaa, so inabidi ccm isitulie kwa sababu chadema ipo kuikosoa. mbali kukosoa ni chachu ya maendeleo ya taifa.
Bwana spider nakushauri usiwe unaweka joja sizizojenga kwa wasomaji, ujue kwamba site hizi ni wasomi na watu wene mitazamo tofauti wanolenga kujifunza na kuhabrishwa kwa mambo ya msingi. hii si fb unakoweka kila uchafu ili mpenzi wako asome
Hata sina hamu!!! ninumia ninaposikia yanayozungumziwa kuhusu taifa letu, slikali ya ccm chunguza maeneo kama shule zisivo na vifaa vya kufundishia, madarasa, mahabari, walimu, n.k vyote hakuna has walimu wasayansi!! je huu ni uhuru? bora tushabikie chadema ktk mikutano yao!!! chukulia mfano...
Hata sina hamu!!! ninumia ninaposikia yanayozungumziwa kuhusu taifa letu, slikali ya ccm chunguza maeneo kama shule zisivo na vifaa vya kufundishia, madarasa, mahabari, walimu, n.k vyote hakuna has walimu wasayansi!! je huu ni uhuru? bora tushabikie chadema ktk mikutano yao!!! chukulia mfano...
ccm jamii inahudumiwa kwa ukweli, tunasoma ili tuujue ukweli na kupana na adui ujinga, je mmejitafakari kuwa mnateta msliahi ya ccm bila kujali taifa mnalotumikia, hivi kwanini kila anayekoment mitandaoni anakemea ccm? chadema be strong kupitia ujinga wa ccm naamini tutafika 2015.
Viongozi wa ccm acha unafiki kumbe vyombo vya habari vinawaubua kupitia ss mnazotuma bila kufikiri mf, mtu mmoja aliyetuma sms kwa nape akiagiza ahakikisha dr. slaa hafanyi mkutano kigoma hasa siku ya leo ya uhuru kwa gharama yoyote ana maana gani? ccm kuwa na nia nzuri na democrasia...
maoni kwenye mitandao wakati mwingine yanaboa inaboa sana!!! nyie mlojaji lisu au zitto, wengine mbowe kwa kutumia luga zisizo rasim (abussive) mnakosea. eg mi nasoma maoni yenu nakuta upotoshaji tu! let think carefully before posting anything!
Hakuna; mbinu za kudhoofisha chadema zimepangwa hivo mbowe na slaa kaa chonjo, wanaowasaliti ni hao mlowafukuza, ila kaza msimamo ili tufike vizuri.
KATIKA moja ya mambo yaliyojitokeza katika mgogoro wa uongozi wa Chadema, ni tathmini ya nguvu za aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu, Kabwe Zitto...
nimeamini zito si mzalendo kama tuzaniavyo, arudi ccm watampokea angalau awe mwanachama tu bila madaraka ila kurudi chadema ni aibu upu, kuongea kwa wananchi aibu, sasa aende wapi. big up chadema mnaweza hata 2015 mkishika nchi mnaweza kutimua mafisadi wote. ccm wafuate nyayo zenu ili wafumue...
Selikali isambaze katiba iliyopo ili wananchi wasome kilichomo, naona rasimu ndo inaonekana maeneo kadhaa lkn bado wananchi wengi hawaisomi na kuielewa
Namshangaa zitto, hebu jirudi mh. tukajenge nchi, pia ccm jifunze kutoka chadema nanyie mngefunguza mafisadi wote ingependeza sana. ila naumia jembe kama zitto niliamini sana leo machozi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.