Recent content by philipo Leonard Philipo

  1. philipo Leonard Philipo

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi imetumia kanuni gani kuahirisha mchezo wa derby?

    Kwa hili limeshatokea hatuna budi kukabiliana nalo lakini limeweka dosari kwenye ligi yetu hapa Tanzania bara,TPLB wafanye kutangaza tarehe ya mchezo huo na kuwaonya wote watakao patikana na hatia kwa mjibu wa kanuni,taratibu na sheria zinazoingoza TPLB katika kutoa haki na kuendesha ligi yetu...
  2. philipo Leonard Philipo

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi imetumia kanuni gani kuahirisha mchezo wa derby?

    Kwanza,tuelewe kuwa timu hizi mbili simba na yanga ni timu kubwa si tu Tanzania bali kimataifa hasa hapa Afrika na dunia kwa ujumla hivyo ni timu hizi zinafanya soka letu linakuwa zaidi ningewaomba wachezaji,kamati za kiufundi mfn mabenchi yote ya timu hizi mbili na uongozi wa TPL kutengeneza...
  3. philipo Leonard Philipo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu hanisalimii, anasema salamu ni wajibu wa mwanaume kwa mke au familia yake

    Daaaah! Kwanza nikwambie pole sanaa kwa hiyo changamoto unayoipitia ila kwanza angalia mzani wa mahusiano yenu je, yalikuwa hivyo toka mnafahamiana au tu ni mabadiriko katika safari yenu ya mahusiano? Pia angalia tofauti ya ukiwa mbali ama ukiwa karibu yake ,je kuna utafauti ukilichunguza hilo...
  4. philipo Leonard Philipo

    JamiiForums Tanzania Naomba mamlaka zinazo husika kushughulikia hii changamoto ya watoto kwenda vijiweni

    Ni ushauri ambao naamini utasaidia jamii na kuwasaidia vijana kufikia ndoto zao, tukumbuke kuwa wao wakati mwingine wanakuwa hawaelewi madhara ya hiyo michezo ✍️✍️
  5. philipo Leonard Philipo

    JamiiForums Tanzania Naomba mamlaka zinazo husika kushughulikia hii changamoto ya watoto kwenda vijiweni

    Tunapo waacha watoto kudhurura na kuwapa uhuru ulopitiliza bila kujali kesho yao ndo chanzo cha watoto kuwa wazembe na kushindwa kujifunza vitu vya msingi kama masomo hii ndo sababu wanavuna ziro huko mashuleni. Wazazi chukuweni hatua stahiki ✍️✍️
  6. philipo Leonard Philipo

    JamiiForums Tanzania Maendeleo vs Chama

    Maendeleo ya nchi yanategemea sanaa nguvu hizi 1. Viongozi wa juu waliyo aminiwa na wananchi na chama husika ili kuilinda KATIBA ya nchi pamoja na ilani ya chama husika hapa mfano mzuri mzuri ni viongozi wa ngazi za juu kitaifa ✍️✍️ 2. Viongozi wa ngazi ya kati waliyo aminiwa na wananchi...
  7. philipo Leonard Philipo

    JamiiForums Tanzania I am a new member

    I am sorry, I 'm a new comer to this Media so I need your cooperation in order to reach our goals
Back
Top Bottom