Nimepata nafasi Chuo cha Songea Teachers College kusoma Stashahada ya Ualimu Kemia na Biologia.
Hivyo naombeni msaada kwa anayeelewa hiki Chuo au vyuo vingine vyenye kufanana na hicho hususani suala la jinsi ya kupata GPA nzuri hapo Chuoni asanteni.
Pia hiki Chuo kipo vizuri?
Je kuna MTU alie omba vyuo vya diploma ualimu kwenye vyuo vya Mpwapwa Tc, Songea Tc na kwenye status yake akapataaaa??? Naombeni majibu maana mi sijaona chochote kwenye profile yangu??
Nimehitimu form four nikapata
Kisw-B
Hist-C
Chem_C
Bios-C
Geo-C
Eng C
Mathematics D
Civ C
Nina two ya 20 Je ni wapi patanifaa kuapply kabla hawajafunga selection nacte UPI ushauri wako kwa hayo matokeo niapply coz na vyuo vipi ambavyo naweza kusoma ndani ya government
NB...
Natanguliza shukrani kwa wana JF kwa kazi mnayofanya na Mimi nimeapply vyuo vya diploma education vitatu Nina two ya point 20 chemistry, biology zote Nina c vyuo nilivyoomba ni mpwapwa Tc na Songea Tc je na tukuyu Tc je nawezakupata hapoooo???? Pia kama ikiwezekana je ni lini majibu yatawekwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.